Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Weka miradi mliofanya ndani ya miaka mitano tushindane Ili mtushinde hapa, hizo takwimu ni kujifurahisha tu kwasababu sio factEbu andika hiyo yako tuone?ππππππ
View attachment 1860685View attachment 1860686View attachment 1860687
Miradi tunaweka hapa Kila siku. Hakuna venye Tanzania inaezashindana na Kenya in infrastructure when;Weka miradi mliofanya ndani ya miaka mitano tushindane Ili mtushinde hapa, hizo takwimu ni kujifurahisha tu kwasababu sio fact
Unapata wapi ujasiri wa kutengeza takwimu za kujiweka juu kwa taifa kama Tanzania kwenye masuala ya infrastructure ππ Dah.! Taifa lililo tengeneza almost 800km SGR ndani ya miaka mitano.? Madaraja makubwa Afrika mashariki, modern international airports, meli za kutosha, vivuko, hospital kubwa kubwa na ndogo kila mahali, stendi za mabasi za kisasa kabisa, uboreshaji miji, shule za kutosha, masoko yakisasa, ujenzi wa mji wa serikali with 51km roads, dual outer ring road 115km.. alaf eti niamini takwimu zako za kipuuz na nyie miradi yenu kila siku mnapost hapa upuuzi mtupu.. si nitakua kichaa sasa.?Ebu andika hiyo yako tuone?ππππππ
View attachment 1860685View attachment 1860686View attachment 1860687
Kwhyo wewe inakuumaFYI chi za Kimagharibi hamna station hata moja ya treni ina mangazi!
Ile sio black badge. You are so simplistic. That's a base model cullinan.Nani mwengine ako nayo hapa EA.? 2021 cullinan black bedge RR
Umepanic mzee bila shaka[emoji1787][emoji1787]Weka na treni zake tuzione
Nakwambia hivi wadigo na maasai halisi wanapatikana kenya..Ndivyo unavyojidanganya sio
Bro acha kutumia uongo uongo mzee hautakusaidia kitu πππ.. kwanini msikubali ukweli..? Naona umetaja interchanges 50 ππ zipo wapi sasa mbona hatuzioni.? taja moja moja basi, suala la umeme mtueleze sasa ndani ya miaka mitano infrastructure za umeme nani amewekeza zaidi Kati ya nyinyi na sisi.? Eti 50 flyover πππ. Kwenye barabara uko kaa mbali sana usiguse kabisa since tz ni kubwa geographically kuliko kenya .. eti electricity connectivity ni 2.7 households Halafu mda huo huo unakubaliana na data za watanzania wenye dikoda ni zaidi ya 3m people πππ we ni mpuuzi mmojaMiradi tunaweka hapa Kila siku. Hakuna venye Tanzania inaezashindana na Kenya in infrastructure when;
1. Electricity connectivity in Kenya is 7.5M households against Tanzanian 2.7M.
2. Paved roads in Kenya is 21,000km against Tanzanian 9,000km.
3. Over 50 interchanges in Kenya against 2 interchanges in tanzania.
4. Over 50 flyovers in Kenya against 1 flyover in Tanzania.
5. 85% electricity access in Kenya against 40% in Tanzania.
Go google usinichosheIle sio black badge. You are so simplistic. That's a base model cullinan.
Ni kweli wadigo asili yao Kenya, walivamia Tanga wakawapiga wabondei pale Tanga mjini wakashinda vita basi yakawa makazi yao, Mimi mwenyewe baba yangu mdigo, mama angu Msambaa .. lakini wamasai asili yao Arusha mjini kabisa pale.Nakwambia hivi wadigo na maasai halisi wanapatikana kenya..
We unajua nini bana
Miradi ya mikopo sio?Miradi tunaweka hapa Kila siku. Hakuna venye Tanzania inaezashindana na Kenya in infrastructure when;
1. Electricity connectivity in Kenya is 7.5M households against Tanzanian 2.7M.
2. Paved roads in Kenya is 21,000km against Tanzanian 9,000km.
3. Over 50 interchanges in Kenya against 2 interchanges in tanzania.
4. Over 50 flyovers in Kenya against 1 flyover in Tanzania.
5. 85% electricity access in Kenya against 40% in Tanzania.
Kenya hiyo ni hela nyingi sana maana hawawezi kufinance kitu kama hicho kwa hela zao za ndani mpaka mkopo and this says alot about the status of Kenyan economy GDP ya makaratasi.229m usd wakat sisi tumetumia more than 300m usd kuagiza modern bullet trains wewe vp mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe hukuenda shule nini au ni chokoraa? Au hujui round off?You will forever remain a fool, so 7.7 of 10 ni over 80%
Dah nchi inajifia hii deni kubwa sana wakenya wanatwishwa na corrupt leaders. Inabidi tuwaombee hawa wenzetu waondokane na kikombe hiki.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
If it not an infrastructure then what is it?Hey fool, train is not an infrastructure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1860578
You just sound like a little fool[emoji16][emoji16] keep it up slicNa nikisema Uganda is ahead of Tanzania in infrastructure mnaona vibaya. Now see what Uganda is building, itawachukua karne Saba kujenga something like that.
Weka vitu current sio vitu vya 5 years ago. Ndio maana wakenya wengi bado wana mentality ya kizamani sana kuhusu TZ hawajui kuwa Tz has changed alot.Ulikuwa unataka source itoke kigoma ama?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1860589
Wacha ushamba wewe decorders ni kwa subscription TV na unaweza ukawa na dish usiwe na decorder pia.Nilikuambia urudi shule wewe, unajua maana ya decoder kweli?[emoji23][emoji23][emoji23] Dish and decoder go together cause decoder haiezifanya kazi bila dish na pia mtu haezitumia dish bila decoder. Rudi shule kijana,[emoji23][emoji23]