Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea kutafuta yard kw tochi mzee, siku ukipata unitag

Wacha ushamba, siku hizi geuza na geuzia ni sawa sio[emoji1787][emoji1787]
Wapi ulipoandika geuza au geuzia, hebu nioneshe nione [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Wapi ulipoandika geuza au geuzia, hebu nioneshe nione [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1859809
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Halafu anajifanya eti anajua kiswahili na yeye ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kumbe hata mtoto wa darasa la saba anaweza kumfundisha Kiswahili huyo mbuzi,.. nimempa maelezo ya mada ya sarufi na matumizi ya lugha class seven, anasema eti nime google ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ .. nna mashaka huenda huyu ni mpuuzi tu wa mtaani hata shule hajasoma..
 
Akuna kitu unaweza zaid ya kuja n excuses every time[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwaiyo ulitak tusiburudike na umbaji wa Mungu?
Huo ni uzembe km taifa, yani nchi nzima watu wanakosa kitu cha kufanya zaidi ya kuwaza makalio mwishowe wengine wanaishia kwenda na vigodoro..
Manale sasa akitoka bila ataonekana mzembe na wazembe wenziwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ