Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waaaa nikama huelewi kingereza kwasababu your reply does not make sense. Tunaongelea holding capacity ya ports wewe unajibu na maneno ya reli.

Wewe ndo huelewi, tunaongelea double decker electric SGR. Wewe sijui unataja nini tena.
🤣🤣🤣
 

Baelese, baelese aboo.
 
Yani kiukweli kabisa kwa hapa Dar hii ni sehemu mojawapo yenye view ya hatari sana, yn ukifika hilo eneo macho yako lazima yaenjoy, ndio maana kuna mkunya mmoja alipaita CBD baada ya kumuonesha eneo lingine karibu na hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watawadanganya wale wasiopajua, hzo wanzokutajia ni main road, yani kiufupi mnazi mmoja ni sehemu unapita kuelekea posta na pia vile vile si mbali na kariakoo km ukikatiza mwnywe kw mguu..

Yule kilaza mmoja anasema eti boundaries ni towers
Hoja zenu za kijinga kutoka post point gani hadi kkoo point gani ya mstari mnyoofu maana unapima mwisho na mwisho au katikati na katikati ,yaani post katikati hadi kkoo katikati
 
Mturuki hatari bana
Yani kawapiga jamaa vibaya, treni ikipata breakdown hakuna flow itaendelea kabisa..

Dar mkionyesha kitu km hiki natoka jf, bado mtazindua sanaView attachment 1857435View attachment 1857438

Hapo ni sehemu ya kujeuzia mzee , sio kila treni inakuja na kutoka lazima zipishane moja inajeuza ikitoka ile inaigia
Km hivi ..upoView attachment 1857448
Ila wew bhana 😂 😂😂 ukiambiwa SGR ya bongo ni EUROPEAN standard uelewe .. haya ngoja nikupitishe kidogo ujionee kwa ground.alaf kwenye kiswahili hatuna neno "sehemu za kujeuzia" 😂😂😂 ni "sehemu za kugeuzia" neno kugeuzia limetokana na neno GEUZA ambapo mzizi wake wa neno ni "GEUZ" unaweza kulinyumbua na kuunda maneno mengine kama Geuzia, Geuziana, Geuzo au pia unaweza kutumia aina zingine za uundaji wa maneno kama vile (affixation, reduplication, Compounding word formation n.k). kugeuzia limeundwa kwa kutumia njia ya uundaji ya maneno ya Uambishaji (affixation) ku-geuz-ia .. ku=priffix geuz=root ia=suffix
 
Hapo ume fail mtihani wabongo hatunaga mda na nyinyi🙂polee Sana
Nyie ndo mmejaa kwenye blog na page za wabongo mkifatilia habar za the great Tanzania.
Ndo maana bongo musiq inatawala huko🙂
Sawa babaa..hatujakataa kimziki tunawaheshimu..lakini mambo mengine yote mnatuheshimu....makofii
 
Nolipokuwa
Waulize wakunya wenzako kila siku sana potea dar [emoji1787][emoji1787]wanaanza kulia kama watoto ,hapo nairobi mtu hawezi kipotea,mm mwenyewe siwezi kupotea
Hakika huwezi kupotea Nairobi..jiji limepangika vyema.. Barabara ziko fine...Mbona mtu apotee...Dar twapotea Kwa sababu ya ubovu na mchanganyiko upande wa planning
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…