Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eti Kenya ishindane na Tz mtaweza wapi!! Yani Wakenya mnatumia nguvu nyingi since Uhuru na wazungu walisaidia kujenga baadhi ya vimradi lkn Tz miaka yote hiyo inasaidia nchi jirani kupata Uhuru, now after few years Tz imeanza kujenga uchumi ghafla imeanza kustua dunia [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
While the one from Mombasa will reach lake Victoria in less than 3 hrs.
 
Ikiwa kutoka Mombasa mpk Nairobi tu garimoshi linachukua siku nzima kufika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani ukiongelea joka la umeme tu jamaa wana log out, na mm kwasababu napenda kuona Wakenya wakiteseka basi napiga pale pale siachii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanakuwa kama mende ukiwasha taa wanasepa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi nyie speed ya 160km/hr mnaichukuliaje? Hebu mwenye gari na aliyewahi kutembea hiyo speed constantly for at least 3hrs atuambie aliteambea lini na kwenye barabara gn.
 
Teargas umekumbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii ndio dawa yenu wakunya, ni kupiga panapouma maamaee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ikiwa kutoka Mombasa mpk Nairobi tu garimoshi linachukua siku nzima kufika [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We don't use trains to transport oil my friend, we use pipeline that is faster than the train. That's why Kenya will forever be ahead of you.
 
Now hatuongelei pipeline, tunaongelea SGR, km hutaki sema [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
You dont know Tz well still unataka ku comment of Tz. By the way we have the largest dry port in east and central africa at Isaka that serves cargoes for Rwanda Burundi Uganda and congo.
Tunawajua kwa mdomo, tuambie holding capacity ni ngapi tucheke.
 
Taratibu unapiga dozi kubwa kwa wakati mmoja utaua watu wewe! Sight kama hizo huwa wanaona kwenye movies tu. Sasa maendeleo yamesogezwa karibu yao waje waone in person sasa.
 
We don't use trains to transport oil my friend, we use pipeline that is faster than the train. That's why Kenya will forever be ahead of you.
Hatuongelei pipeline now [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sisi tulianza kuwa na pipeline kabla yenu na ndefu kuliko yenu inaanzia Dar mpk Kapirimposhi Zambia, google TAZAMA pipeline now tunajenga pipeline ndefu zaidi duniani, but now we are talking about SGR [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa hutaki kukubali kuwa Tanzania haitawezana na Kenya when it comes to oil transport?[emoji23][emoji23][emoji23] Wakati mnatumia trains to transport petroleum products, Kenya inatumia pipeline.
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…