Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa holding capacity and cost ni kama maji na chura.
So you store container twice. In Mombasa and In Nairobi, right!?
Lakini wewe nikama ukona ujinga ya kuzaliwa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimewachana na wewe hata, ile siku utajua how freight business works tutaongea.
 
Lakini wewe nikama ukona ujinga ya kuzaliwa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimewachana na wewe hata.
Umeshindwa kujibu swali. Unaleta uongo hapa. Nimesema shipping one container by SGR from Mombasa to Campala is to expensive, compared to shipping one container by MGR from Dar es salaam to Kampala. Uongo!?
 
Duh!! Ndivyo wakenya mlivyo washamba hivi!? Cement haijakauka!? Unadhani modern SGR zinajengwa kwa tofali kame madaraja yenu!?
Ninapoongelea cement kukauka..inamaanisha ujenzi unaendelea...hivi bongo lalas tanzajingans ..mlisomea wapi.....you always handle everything at face value. angalia maana mbadala kwa undani...dah wa tz wacha tu
 
Nenda ukafufue magufuli atakuambia Kama hiyo article ni fake ama authentic. You can also ask Tundu lisu, Rose Muhando and many other professors in Tanzania.
Magufuli hajawahi kuletwa Kenya kama ameletwa weka picha hapa udhibite huyo Tundu ni sababu ya kisiasa kuja huko
 
Ninapoongelea cement kukauka..inamaanisha ujenzi unaendelea...hivi bongo lalas tanzajingans ..mlisomea wapi.....you always handle everything at face value. angalia maana mbadala kwa undani...dah wa tz wacha tu
Sasa unaandika vitu vya uongo vilivyo kuchwani mwako. Do we read your head!?
 
Umeshindwa kujibu swali. Unaleta uongo hapa. Nimesema shipping one container by SGR from Mombasa to Campala is to expensive, compared to shipping one container by MGR from Dar es salaam to Kampala. Uongo!?
Wewe ndiye muongo. NB this are 2020 stats. Yani tunawapiga kiboko hadi munaongeza container holding period na kupeana 100% waiver on charges for delayed containers. Efficiency is the best strategy, Mombasa port ikona very very few uncleared containers compared to your port.

Mzee ndio maana nasema unachanganyikiwa. Unaleta news ya 2011, we are in 2021, unaleta news ya miaka 10 iliyopita. Mzee unahaha.
Using Kenya SGR is too expensive.
 
Mzee ndio maana nasema unachanganyikiwa. Unaleta news ya 2011, we are in 2021, unaleta news ya miaka 10 iliyopita. Mzee unahaha.
Using Kenya SGR is too expensive.
Enyewe wewe nikama hujui kusoma kingereza vizuri. Au unadhani period ni hedhi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

tobaa wewe kibwengo umetokea wapi tena..? hiyo hoja ya ukubwa au udogo ndiyo uzuri nani kaizungumzia.?.

njaa kweli mbaya,chapa kazi chokoraa uingize income wachana na unywaji chang'aa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…