game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 11,056
- 26,336
$ 10,000 is big money for that pathetic toroli.najua bado ila atleast wanajaribu...wapi made in tz car? lol! ama kweli nyani haoni kundule...kisha pengine nikuelimishe kidogo...gari hili ni low-cost car...hivyo haina mambo mengi...unaeza ukapata gari hii haija fika hata $10,000...ndio maana iko vile...
Hiyo pesa nanunua Toyota Maki Eksi used from Japan halafu napeta mtaani na chenji inabaki.