Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunnel haiezekwi kama msonge wa makuti, inachimbwa chini ya ardhi, ni ardhi gani iliochimbwa hapo?
Ulikua hiyo barabara ikijengwa tokea mwanzo?., walichimba, hapo ni ndani ya hilo shimo., level ya usual road ipo juu yake kilaza kweli , uwezi kulazimisha fikra zako ziwe ukweli ilhali haujui chochote😂😂😂., Mko ovyo sasa mnaanza kuumbuliwa na wenzenu, nilisema huu uzi upelekwe habari na hoja mchanganyiko ama Jukwa la siasa muone vile watanzania wasema ukweli watawaumbua.
 
Tayari umeshauchezea moto wangu. Huna cha kuongea tena.
This is University of Dar es salaam Library. Best Library in Africa. Hakuna kama hii Africa yote
View attachment 1853140View attachment 1853141View attachment 1853142View attachment 1853143
KNLS MAKTABA KUU Interior design WAANGARI MATHAI ,C MBARUNGU STATUES ..........MODERN LIBRARY View attachment 1853725
 
Leta entrance and exit points zake na overview kama una ubavu 🤣🤣🤣
 

How will they know this wakati wamejaza jiji lao na uswazi?
 
Hapo hakuna cha ushamba wala nini. Hapa tunaelimishana as much as ni battle. You can't know everything under the sun. Hata mimi sikujua hilo ila sasa nimejua, thanks yo you. Tusiwe watu wasioona positivity in anything
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mshamba ni bora urudi village tu hakuna unachojua kuhusu dar ila ni kweli maana hivyo vichaka sisi hatuna kwa hiyo view yetu haiwezi fanana na yenu sababu yenu ipo empty jitahidini kujenga bado sana mnafuga nyani.
Ni kweli hamna vichaka. Ona Ilala palivyojengeka hadi raha
 
Wawalete wale wanaokimbia kama Vichaa hata million 100 wajichange hawawezi kununua hiyo gari 🤣🤣🤣
Who told you this? Rolls Royce is an expensive car but the cullinan is not the most expensive SUV even in the family of Rolls Royce itself. Check out the price of Rolls Royce Cullinan Black Badge.

And have you heard about the Mercedes Benz Braubus G900? It's way more extensive than the Black Badge with an entry price of $800,000.

At the moment, the most expensive SUV in the market is the Mercedes Benz G650 Maybach Landaulet, retailing at a staggering $1,151,117!

​

 
hilo gari ndio the most expensive SUV duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…