Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Miji mingi mikubwa iko hivyo, dowtown na maeneo yanayoizunguka yanakuwa yameungana. Kama mgeni huwezi juwa downtown inaanzia wapi na kuishia wapi.

Nairobi ni kamji kadogo kalikojaza watu sehemu moja kama funza na kando ya mji kuna mapori na slums. Siyo kosa lako lakini, ni ushamba tuu unakusumbua.
 
Hii battle ni ya Dar versus Kunyaland nzima πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Pamoja na Dar kupambana na counties 5 Kunyaland nzima bado zinachezea kichapo cha mbwakoko
 
Nairobi GDP is $60B, Tanzania GDP is $60B.
Kunyaland gdp ni 90$b so 80% ya all economic activities zipo naipori-slums-everywhere nchi nzima ni jangwa lisilo na maana kwenye mchango wa gdp sio? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Tukisema naipori ndio Kunyaland mnableed
 
Watu wa kabila la Igbo walia sana kwamba Kenya imeteka nyara mkubwa wao na kumhand over to Nigerian authorities. Kwenye hii demonstration huko London, kinachonichekesha ni jinsi huyu Mnigeria anasema Kenya ina huge embassy, huge embassy. Kwani embassy ya Nigeria huko London ni ndogo kasi gani?

 
Mzee kichwani mwako kuna ubongo au umejaza upepo. Nyie mliweka Mombasa road which is not dual carriageway.
The length of Dual carriageways in Nairobi is only 96km but in Dar more than 160km
Mombasa road has been dual carriage for many years!! since Moi's regime.., ama haujui maana ya dual carriage?.., lishamba πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
tunawachora tuu,,wacha wajifurahishe
 
Yaani ninyi wakunya mna syndrome ya superlatives pronouns sana, huyo jamaa anasema huge and massive protest wewe kwenye akili yako ya kikenya umedaka huge and massive building πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

English pia ni tatizo sababu utafiti unasema ni wakenya mil 1.8 tu ndio wenye uwezo wa kuelewa na kuongea somehow πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuja pole pole bro., usifanye watu waihame uzi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…