Watu wengi wanaishi kwenye slums bana, naipori-slums-everywhere ina slums zaidi ya 25, mathare ina slum dwellers zaidi ya 1.7 million, Kibera 2 million hizo 23 bado 😅😅😅Nairobi has higher population density than Dar. Nairobi watu wengi wanaishii juu ya hewa sio kama Dar ghorofa za residential area sio mingi thus having a big urban sprawl.
🤣🤣🤣🤣 Wakati wana mapori kabakaba na mambuga ya wanyama pori kila anglekuna mtu kataja nairobi ni kama tokyo[emoji23]
zee la kujifariji ,porojo zako zakicatoonThika superhighway 54km
Southern bypass 31km
Mombasa Road 45km
Wacha hata nisiendelee itakua aibu.
huwa wanavipicha vyao vya road vile vile yaani vishort distance,,angle tofautiOya wakuu hawa jamaa kumbe hamna lolote mpk kwenye dual carriageways tunawat..mba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeambiwa mombasa junction wewe tayari umepanic
Sasa ikiwa longest dual road east africa nzima ni 84km na ndo inajengwa kenya saa hii, hio 100km ndo ipi tena 🤣 🤣 🤣 🤣Iyo thika section ya nbo ni km ngap?Maana hata Morogoro road inaendelea hadi chalinze km 100
kama kuku kataga yai. hii design msanifu achongewe sanamu kabisa ni babu kubwa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji119][emoji119][emoji119]
View attachment 1851568View attachment 1851569View attachment 1851570
Ujenzi utaendelea umeishia kibaha mji...Sasa ikiwa longest dual road east africa nzima ni 84km na ndo inajengwa kenya saa hii, hio 100km ndo ipi tena 🤣 🤣 🤣 🤣
40 kilometres from CBDsNairobi has higher population density than Dar. Nairobi watu wengi wanaishii juu ya hewa sio kama Dar ghorofa za residential area sio mingi thus having a big urban sprawl.
Kipi kinachokufanya unaamini kwamba naipori imeendelea kuliko Dar?
Ina electric SGR?
Ina 3 level interchange?
Ina BRT system?
Ina better access to clean water?
Ina concrete jungle like Dar has?
Ina millionaires than Dar?
Ina recreational parks like Dar?
Ina modern airport?
Ina modern stadium?
Ina nn kinafanya kuamini ivyo? Are you mad? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbona waogopa ku zoom sasa[emoji1787][emoji1787]Naipori-slums-everywhere ipo idle kama joblessness iliopo Kunyaland, ni kubwa mno
Pamoja na kwamba naipori-slums-everywhere ni very Tinny lakini bado ni kijiji ambacho kina mapori makubwa na vichaka vingi mno [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi kuta huu ushubwada Dar
Eti metropolis [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1851732View attachment 1851733View attachment 1851734
Tupia Mombasa road tucheke kidogoMASKINI WAKUTUPWA WATOE WAPI DUAL ROADS. KENOL MARUA (84km). MANINAView attachment 1851895View attachment 1851897
Santa sana mnenguaji[emoji1787][emoji1787]Jamaa tumewapiga kwenye kila angle [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Govt schools
Length of SGR
Best and quality SGR
Hospitals
Stadiums
School buses
Concrete jungle
Five star hotels
Residential homes
Airports
Bridges
Rural electric connectivity
Access to clean and safe water
Public Transport services
Dual carriageways
Kila mtu shahidi humu mana mijadala inawekwa wazi kila mtu anajionea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]