Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Competition gani kubwa mshaihost kwa hiyo kiwanja chenu? Ukinitajia hata moja nalog offπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kukimbia tu mbn hatuwezi cc [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Cc co watumwa bhn, na haupo kwenye vichwa vyetu mchezo huo, mpira pia hatujui ila nguvu ya pesa inafanya tuwe na ligi bora, viwanja vya kisasa, coverage ya kuvutia etc na ndiyo maana mchezaji wa Tanzania anaishi maisha ya kitajiri sn, labda kwenye ndondi hapo naweza sema huo mchezo tunaujua lkn michezo mingine yootee hatujui lkn sasa pesa bhn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lame excuse,cry babies πŸ‘Ά The whole world is in Tokyo,TZ is not special,amateurs!
 
Kwa hivyo Marekani ambayo ndio huwa inaongoza jedwali ya medali pia ni nchi fukara just because they are doing good in sports? What bout Russia that does equally good at the Olympics? Wao pia ni fukara? Hizi vijisababu mtaacha lini?

Unaongea kuhusu umasikini unasahau Tanzania ndio nchi fukara zaidi kushinda nchi zote hapa EA? Mbona mnasahau haraka hivyo?
 
Uchawi pekee ndio mnajuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
I don’t see your football team in Tokyo,when was the last time you defeated Kenya????πŸ˜‚
 
Hio simba na yanga inatengeneza revenue kuliko team zote za kenya combined na kama unabisha sema??🀣🀣

nioneshe banda la choo ambalo gor mahia inatumia kama ofisi ukipata nitag nifunge acc πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo revenue imewaletea mataji mangapi hapa Africa? The essence of any sport is to win trophies, not money na ndio maana inaitwa michezo, sio biashara
 
Siku ukinionesha nchi yoyote duniani yenye electrified SGR, BRT system, 3level interchange, na inalisha jirani zake alafu bado ikawa maskini just tag me [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

FYI, nchi yoyote duniani isiyokuwa na hizo infrastructures basi juwa kwamba hyo nchi ni ya kizamani mno hata wewe unajua hilo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuseme na hawa wanadanganya [emoji23][emoji23][emoji116] hii ndio nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] What are they doing with their Wealth [emoji1787].

Wealthiest city, Super rich City, Capitalist City , Hustlers Paradise [emoji1787].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…