Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umerudi pale ambapo km hko kwenu office space value ina depreciate kw kasi ya 4g, sheria zenu kw wawekezaji sio rafiki..

Nchi zote kampuni nyingi za kimataifa wanajenga majumba marefu
 
Gtc ni mali ya nani? Nioneshe real-estates yoyote kubwa inayojengwa saivi Nairobi inayomilikiwa na mkenya? Zote ni wachina, wahindi, wapakistan, waarabu, Wazungu huu ndio ukweli mchungu na huna la kufanya [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwn wenyewe wanasemaje[emoji1787][emoji1787]
Manake hata sisi KCB tumetinga bongo nyinyi mnasema mtakuja lini kutuongezea towers na majengo mengine mengine bana
 
mwambie akasome Bernoulli principle asikupe shida. wakenya wengi wanajua kingereza ndio elimu
 
LOL "each county gets its own funds "

Well in Tanzania each 'county' makes it's own funds

View attachment 1849143
Unatukumbusha enzi za nyayo mzee[emoji1787][emoji1787]
County bajeti yao inapangwa kwenye bunge lao alafu waziri wa fedha anatoa mgao..

Nyie endeleeni na mifumo ya kizamani tu, ndio manake nchi imeshindwa kujinasua miaka yote hyo...
Kenya katiba miaka kumi tu mashinani kumekua kumoto
 
Hiyo ni picha ya Hyundai rotem ya mizigo ya Uturuki.
Wana treni nzuri tu za abiria na wamewatengenezea Australia, Turkey, Egypt, Tunisia, India, Ukraine n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…