Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ranking according to what?
1. Number of students
2. Area of university
3. Number of professor
4. Number of courses
5. Age of the university.

Which is which unaanza kubadili tu mada. Wewe twende kazi mzee mbona unaaza kulia mapema?
Mwenzako hataki vitu vya uchochoroni au vitu ambavyo havina hadhi ya kupeleka mtoto wako hko akasome
 
Mwenzako hataki vitu vya uchochoru au vitu ambavyo havina hadhi ya kupeleka mtoto wako hko akasome
Naona mnaanza kuleta upumbavu sasa. Kama mmeshindwa nendeni mkale mavi kibera. Sababu zinaongezeka tu kama umebanwa tumbo la kuhara 🤣 🤣 🤣 💉 💉 💉
 
Naona mnaanza kuleta upumbavu sasa. Kama mmeshindwa nendeni mkale mavi kibera. Sababu zinaongezeka tu kama umebanwa tumbo la kuhara [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
Mbona hutaki ukweli[emoji1787][emoji1787]
Au pia unataka uanze kutuletea vyuo ambavyo wamekodi floors ghorofani
 
Sishangai kushikilia vitu vidogo dogo na vya kipumbavu kama hiv angalia uchumi wenu uko driven na nini...utagundua uchumi wa Kenya ni wa juisi mnahangaika hangaika tu *agribusiness...hamna kiwango cha kutuzidi sisi kwa kila kitu,mnavusha mazao Tanzania na kupack Kenya na tushawadhibiti vilivyo mnabakia kupika data tu, industrial sector kaangalie inachangia kiasi gani ndo urudi hapa peanut,njoo kwny services sector (Tourism, financial and other retail) Tourism mshakaa kitambo sana ambayo ndo yenye mchango mkubwa sana ndani ya hii sector ya huduma...!!
Unapokuja na swala la real estate na kujinasibu feel very pity for you!!!mshazoea kufanya kazi na Knight Frank,Dar es Salaam kuna madalali na madadali wanaozungusha pesa wakubwa na wadogo kwny maswala haya ya real estate sema wako off record!!!acha kujifariji Mkenya!!!.
 
Halafu nakupa homework nenda kaangalie GDP Contribution ya Tanzania kwa sectors ndo urudi hapa at least EACOP ingewaboost tukawanyang'anya na hii pia 😂😂😂😂😂.
 
Tounyeshe hizo data zako zenye zinaonyesha kama TZ iko na uchumi wa juu kuliko kenya...Tunazingoja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…