Train zenyewe mitumba yetu ya DMU zinaafadhali
Double stack hazibebi
Mizigo yenyewe hakuna alafu isitoshe yote inaishia dar slum.
Haya niambieni hawa maskini walihitaji SGR ama ndo walitaka kushindana na ndovu[emoji1787]
Karibu. Umejileta sitaki ulete picha za uongo.View attachment 1846723View attachment 1846724View attachment 1846725View attachment 1846726twende kazi leo ni mimi na wewe na Niko very careful ndo mkishindwa msianze kujitetea eri picha za china ooh picha za Haiti
Karibu. Umejileta sitaki ulete picha za uongo.
Tunaongelea kilimo sawa mzee.
1. Cereal Crops
2. Fruits.
3. Horticulture
4. Others
Let start with cereal Crops
KILIMO CHA MTAMA Tanzania
View attachment 1846736
View attachment 1846738
View attachment 1846743
Umeanza issue zako sasa mzee.
M nlikua na wazoom tu, mpka lile likawa wana lialia ni la kwao nalo liko na spacesKuna jumba moja hapa walipost eti ni hospotali na imeandikwa 'to let'
Mzee huwezi kufanya utapeli. Hujiamini? Be real kijana
Umeanza issue zako sasa mzee.
Hatua moja tu unaanza cheating 🤣 🤣🤣
Sijaanza hata kukupiga za uso umeanza cheating
View attachment 1846784
View attachment 1846786
Fake fake everything fake. Kenya mnanini lakini?
LaumuUmeanza issue zako sasa mzee.
Hatua moja tu unaanza cheating 🤣 🤣🤣
Sijaanza hata kukupiga za uso umeanza cheating
View attachment 1846784
View attachment 1846786
Fake fake everything fake. Kenya mnanini lakini?
View attachment 1846792
Lúa mì Hoa Kỳ xuất khẩu đang bị theo dõi sát
Nhật và Hàn Quốc sẽ ngưng nhập khẩu 1 số lúa mì Mỹ sau khi các giới chức khám phá ra một cánh đồng lúa mì biến đổi gien di truyền không được chấp thuậnwww.voatiengviet.com
News zenu zinaiba picha huoni hata plate no za gari sio za kenya? Hebu acha hizo mzee. kila kitu ni fake fake tu. News mainstream yenu nayo ni fake. Be real kijana.View attachment 1846791
What about that????
Usituletee fake news. Unless you don't know how to use internet.
Nikufinywa ndio wanataka[emoji1787][emoji1787]Hawa vilaza chuki itawauwa. Instead of being bitter about every project in Kenya si wajikakamue tu na wao wafanye miradi kama hizo? How does being salty all the time help them?
NITAKUFINYAUnaji quote mwenyewe zen unacheka mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hvi wakenya wanayo haya maatamu uko kwao au wanabakia kuyaona kwenye sinema tuuTamu Tamu Apples - Iringa Tanzania
View attachment 1846701
View attachment 1846702
View attachment 1846703
View attachment 1846704
Kilimo cha Alizeti(Sunflower) Tanzania