Nakupatia taarifa uliyoleta wewe mwenyewe sasa unaanza kubabaika na kutoa povu. Hiyo real estate value unayoleta hapa kila siku imekuumbua sasa unaanza hasira. Nairobi is richer compared to your glorified fishing village. That's the bitter pill you can't take. It has a bigger middle-class population than all other cities in this region. That's another bitter pill you won't take down your throat. Hayo ya slums mbona tumeyazoea? Mbona hujiulizi licha ya hayo changamoto zote Nairobi is still richer than Dar, has a bigger middle-class population na mambo mengine? Number mtazidi kusoma. Povu ruksaKwani ukiskia real estate kwanza unaelewa nn ??? 🤣🤣🤣🤣 yani unachekesha sana unazungumzia utajiri wa eneo wakat 75% wako kwenye slums maisha ambayo hata nguruwe hawezi ishi, nchi ambayo wanafaidi wajanja tena makabila mawili tu kalenjin na kikuyu wengine kwangu pakavu tia mchuzi
Dar mtu kumiliki nyumba zaidi ya 30 ni kitu cha kawaida sana yani haoni ajabu sio nyinyi unakuta tajiri mmoja anamiliki estate ya 40b kirubi alaf wengine watamiliki nn na nusu ya eneo la nairobi ni misitu na national parks??
That's Southern bypass towards Mombasa road. Yani Nairobi kwa kweli ni jiji linaeleweka. Just look at that level of planning and organization! Ingekuwa ni kule south ungeona mabanda za dreamhouses kila mahali thrown here and there in a very disorganised manner.
Hawa vilaza chuki itawauwa. Instead of being bitter about every project in Kenya si wajikakamue tu na wao wafanye miradi kama hizo? How does being salty all the time help them?Jamaa kawa engineer ghafla[emoji1787][emoji1787]
Kuna jumba moja hapa walipost eti ni hospotali na imeandikwa 'to let'Hospitali zao nyingi ni zile ambazo wamelodi floors [emoji1787][emoji1787]
Hawa vilaza chuki itawauwa. Instead of being bitter about every project in Kenya si wajikakamue tu na wao wafanye miradi kama hizo? How does being salty all the time help them?
watulete picha kama hizi ambazo ziko nje ya cbd...That's Southern bypass towards Mombasa road. Yani Nairobi kwa kweli ni jiji linaeleweka. Just look at that level of planning and organization! Ingekuwa ni kule south ungeona mabanda za dreamhouses kila mahali thrown here and there in a very disorganised manner.
Mbona unatoa povu kwa uchungu kulikoni?Train zenyewe mitumba yetu ya DMU zinaafadhali
Double stack hazibebi
Mizigo yenyewe hakuna alafu isitoshe yote inaishia dar slum.
Haya niambieni hawa maskini walihitaji SGR ama ndo walitaka kushindana na ndovu[emoji1787]
Mbona unatoa povu kwa uchungu kulikoni?
The chinese 🙂
KILIMO CHA PAPAI TANZANIA - Kenya zzzzzzz wanaangukia pua kila kitu
View attachment 1846713
View attachment 1846718
View attachment 1846719