Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No JF is a place Tanzanians come to make themselves feel better to escape from reality
 
We ni pumbavu hosipitali ziko kenya sema nachanganya picha sometimes when you search images google Huwa inaleta related images but the said hospitals ziko sema tu zinawatisha vile ni mingi
Zinatutisha vile mingi ukichanganya na zile unazoiba.
 
Mbona huo ukweli inakuuma hivyo? Niletee mahali Dar imetajwa mbele ya Nairobi kwa utajiri
Dar is ahead of nairobi in real estate by 3b usd source wolrd bank 🤣🤣

kataa sasa nikupe moto sasa hvi
 
Do some research on FDIs ujue ni kwa nini hao wachina wanakuja kuwekeza Kenya na not Tanzania.
Wanakuja kuekeza kwasababu wanaosaini miradi ni walevi 😂😂 mlevi anawapa expressway wachina wachukue kodi for 30yrs yani hata mwendawazimu haweZi kusaini labda mlevi tu 🤣🤣🤣

mtu anakwenda france kukopa 5km
Railway tena yenye interest juu hvi mlirogwa na nani nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…