Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pole sana, nishakushtukizia
Troll[emoji1787][emoji1787]
Tabia km hizi nazipotezea
Troll eehh maamaeee nakupiga pin [emoji625] mpk unaelewa daadeki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si hata nyie ukiingia google sgr yetu ndio mnaitumia kw karibia kila cover page ya habari zenu kuhusu sgr
 
sijawah kuona mtanzania kaiba picha, it only happens to kenyans
Hivi mbona mnasahau haraka hivi, tanzania mpka viongozi wanaiba picha we unasema nini bana..
Kenya ukinionyesha kiongozi au mtu yyte serekali kaiba picha ya sehemu tofauti duniani na kusema ni ya kenya
 
Huyu demu kuna mitaa hapa bongo nimewahi kumuona km ni yeye, ni kama.laya kamoja hivi nilikaona mitaa ya kitunda kamevaa kikuku mguuni kanatokea mombasa, kadada poa poa flani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo sitaki kujua kama ni kiruka njia wala nini. Akinipa napiga bila maswali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…