President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,642
- 94,280
Venus Star na dadako The best 007 usione tumenyamaza mkadhani mmeshinda, tuna avoid kujaza server kwa battle za kitoto ambazo hamuwezani. Nina hoteli zaidi ya elfu tatu kwa drive yangu naweza spam hii thread mpaka mods wanifukuze.
Wewe ka sio mpuzi sielewi, huoni chapa ya shule hapo juu? 😂 😂 😂Hapa sio nairalandView attachment 1839588
Braeburn iko KE, wacha utopolo! 🤣 🤣 🤣Ndo nakwambia sasa wacha usenge wa kuiba picha.
acha ushamba weweBraeburn iko KE, wacha utopolo! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Tunasubiri U-20 huku, alafu team ichukue mwewe hadi Tokyo inshallah! 🤣 🤣 🤣mwana kulifind mwana kuliget we endelea kuumia tuu maana hamna namna sasa!
jana tuu apo [emoji1241][emoji1241][emoji119]View attachment 1839941View attachment 1839943View attachment 1839944View attachment 1839946View attachment 1839947View attachment 1839950View attachment 1839951
Acha umama wewe, hiyo ni international school, ipo KE toka kitambo, hata uko Bongo wana branch yao. Utaacha umama dogo! 🤣 🤣 🤣acha ushamba wewe
😂 😂 😂Hehe kali is the best rapper in africa yeye ndo alishinda that award watanzania hawaskizi hip hop ama rapa ama genge kazi ni kuskiza tu love songs kama mashoga... mtajulia wapi kali na sarkode or ice prince
endeleeni kusubiriTunasubiri U-20 huku, alafu team ichukue mwewe hadi Tokyo inshallah! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
ulvokua unasema haipo bongo manake nini?Acha umama wewe, hiyo ni international school, ipo KE toka kitambo, hata uko Bongo wana branch yao. Utaacha umama dogo! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Nimefanikiwa aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo ni konki sana [emoji23][emoji23][emoji23]
kazi uliyobaki nayo kwa sasa ni kurepeat....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Eti tanzania kuna hoteli hehe jokes hoteli zote umeweka tuanze kupost za malindi na watamu tu zitazipita mbali hoteli za beach zibishane na za beach tukue for now wacha mechi iendelee
Hilton garden inn, airport
View attachment 1840508View attachment 1840510View attachment 1840511View attachment 1840513View attachment 1840514View attachment 1840515View attachment 1840516View attachment 1840518View attachment 1840519View attachment 1840520View attachment 1840522View attachment 1840524View attachment 1840526View attachment 1840528View attachment 1840529View attachment 1840530View attachment 1840533
Prove kwamba hapa ni Kenya ili niondoke jamii forums.Wewe ka sio mpuzi sielewi, huoni chapa ya shule hapo juu? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Braeburn ipo pia Tz uyo mpuuzi amebadili picha.Braeburn iko KE, wacha utopolo! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
naona unawapasua watu vichwa ,,wanakuchangia lakini hawakupati wanaishia kurudia rudia mapicha,,
Tumeshawachapa wote. Sasa hivi issue ya Hotel sitegemei waje na kipya.naona unawapasua watu vichwa ,,wanakuchangia lakini hawakupati wanaishia kurudia rudia mapicha,,
hotel zao kwa upande wa service zipo zero
Huwa wanavizia mtu upost picha 10 zen ndio wao wanakuja na vipicha vi3 angle tofauti watavizungusha kila mmoja na angle yake lkn tukisema weka niweke wanaanza kulia lia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tumeshawachapa wote. Sasa hivi issue ya Hotel sitegemei waje na kipya.
Huko najua huwezi rusha mdomo! 🤣 🤣 🤣