Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Ndio kichapo waliwaekea hicho, mtakuwa mnatoa hela hadi akili iwaingie kama wa Pakistan... Chezea mchina wewe. Kwanza hawazitumii, so lazma spare zenyu mkitaka extra bei inapanda maradufu sababu kwao sio priority! π€£ π€£ π€£Hujui proqument wewe ukinunua vifaa vya vita unanunuq na spare
Labda iwe ni mpuuzi anatawala KE! Usiwe desperate hivyo kijana! π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ πKismayu iko ndani ya Somalia.
Jubaland iko ndani ya Somalia.
Migingo ni mali halali ya kenya ila sasa hivi iko chini ya Uganda [emoji23][emoji23][emoji23]
Training, hakuna kitu hapo, tena ni joint! π€£ π€£ π€£ Njooni live huku. Alafu mlienda Comoro hivi kumbe? π π π π πTanzania ni mambo moto kijana.
View attachment 1831989
View attachment 1831990
View attachment 1831997
View attachment 1831998
View attachment 1832002
Angalia silent killers sasa, utofautishe btwn Militia and Professionals! π€£ π€£ π€£Training, hakuna kitu hapo, tena ni joint! π€£ π€£ π€£ Njooni live huku. Alafu mlienda Comoro hivi kumbe? π π π π π
View attachment 1834642
View attachment 1834643
Hapana mlipigwa mapanga na wavuta bhage! π¬π¬π¬Mwanajeshi kufa vitani ni kawaida.ila wanajeshi kubakwa kama wa Kenya sio jambo la kawaida.hao wa Mtwara walivamia kijiji usiku uliza kilichowakuta mpaka leo hawana hamu ya kurudi Tanzania.congo jeshi la Tanzania ni kati ya jeshi lililofanya vizuri kazi yake mpaka tukawaondoka k 23.
Tumia akili lile lilikuwa shambulio la gafla watu walikuwa hawajajiandaa.alafu huwezi kuwavamia wanajeshi ambao wanamafunzo tena kutoka Tanzania na mapanga.jaribu kutumia akili hata kidogo.uliza kilichowakuta baadaye walikufa wote alafu kimya kimya.hatutaki sifa.Hapana mlipigwa mapanga na wavuta bhage! [emoji51][emoji51][emoji51]
Leo nimecheka sana! π π π π π π π π π π πSasa ukilia hivi,itakuwaje wakati Nairobi,Mau sammit expressway ikijengwa next year ππhii expressway itapitia Nakuru town in form of a Viaduct Kama hii ya Nairobi expressway ππ,anza kuandika suicidal note,huna lingineππ
Wewe tulia hebu, ati wanajeshi hawajajitayarisha? Kwani walikua wameenda Congo kukata mauno na kula kitimoto? π π π Vijana kama hao hapo chini, wanawatoa kijasho, sembuse mishetani ya alshabab inayoshobokea mabikra 72 ahera??? π π π π π π πTumia akili lile lilikuwa shambulio la gafla watu walikuwa hawajajiandaa.alafu huwezi kuwavamia wanajeshi ambao wanamafunzo tena kutoka Tanzania na mapanga.jaribu kutumia akili hata kidogo.uliza kilichowakuta baadaye walikufa wote alafu kimya kimya.hatutaki sifa.
Mzee wa rally ya marl BORO. Vipi mbona unaturudisha nyuma!? Rally uliweza kuikalia vizuri!?Training, hakuna kitu hapo, tena ni joint! π€£ π€£ π€£ Njooni live huku. Alafu mlienda Comoro hivi kumbe? π π π π π
View attachment 1834642
View attachment 1834643
No safety, at all. No wonder you suffer petty losses like drowning of a soldier bcoz of bs like this.