Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

simba trailer manufacturing limited dar es salaam






 
si ni wewe umeitisha nissan, au hujui magari. Go back and look at your comment.
sawa buda...nawapongeza wakenya kwa kuwa na luxury buses za kisasa kama zile.hongereni sana.mpo juu sana.sisi LDC hatuna kitu.[emoji23]
 
Wewe kenge kweli. Kazi ya road toll nikuwezesha kujenga Barabara na miundombinu nyingine pamoja nakupunguza foleni. Pia kuhusu crime na traffic issues usaidia sana. Naona nyinyi mko kwenye dunia ya mwisho. Go to developed countries and see the importance of road tolls.
Yani mnalipia kutumia Barbara Ama hujui kazi ya road toll?? Izo vitu tulikataa kabisa ziwekwe thika road....why pay to use a highway.

sent from iPhone 7
 
Huyo hua anabisha tu yani yeye kubisha tu
Mzoe huyo ndio mzee wa iphone7πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Simba imeanza kuua watu sasa













 
i wonder what kind of pictures some of you guys have. you must be leading a very boring life btw
 
i wonder what kind of pictures some of you guys have. you must be leading a very boring life btw
Vipi ulikua bzy kazini???????
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
i wonder what kind of pictures some of you guys have. you must be leading a very boring life btw
Naona kisu kimeanza kugusa mahali pake. Vitu hivyo Made in Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…