Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania ni nchi pekee afrika mashariki ambayo inajenga treni ya kisasa inayotumia umeme.ambayo inaendeshwa Kwa mfumo wa kisasa.
We unaijua treni ya kisasa au unatupigia kelele tu hapa km kawaida yenu

Jamaa kasema wao wanajenga treni za kisasa, sasa sijui hzo treni za kisasa zinajengwaje mimi[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…