Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

By Dar Coach only in Dar es salaam Tanzania not in Kenya















 
kuna mtu mmoja toka nchi ya watu wa njaa alidai LDC hatuna luxury buses zenye engine za scania.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio maana nimeweka Scania buses pekee yake ili waweze kuona. Jamaa wanadhani tukiwa LDC kwamba eti hatuwezi.
Wamebaki kuongea tu hawaweki picha yoyote.
 
Ndio maana nimeweka Scania buses pekee yake ili waweze kuona. Jamaa wanadhani tukiwa LDC kwamba eti hatuwezi.
Wamebaki kuongea tu hawaweki picha yoyote.
mabasi yao mengi hasa yale yanayo safari nairobi to mombasa and vice versa yanatumia engine za Nissan UD.
 
Dar coach, mtakimbia acheni mchezo





 
Dar COACH again







Annael basi inatosha....utasababisha watu wakate roho...hii ndio tanzania ya sasa chini ya jemedari wetu magufuli.hatari sana.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
OMG compare the Buses fabricated in Kenya and those fabricated in Tanzania by DAR CHOACH or Superdoll, Utafahamu maana ya ule usemi wa chura akiwa kisimani na uwazi Anaoona juu ndio mwisho wa dunia 😀😀😀😀😀😀😀

DAR COACH Limited

Yaani ya Bongo Unaweza usitambue kama sio fabricated



 
Annael basi inatosha....utasababisha watu wakate roho...hii ndio tanzania ya sasa chini ya jemedari wetu magufuli.hatari sana.[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Ngoja niwapige kidogo wawe na respect. Tukiwa tumekaa kimya wanadhani nothing is going on in our country. Sijui wanafikri huwa tunasafiri vipi from one place to another.

Buses zinatengenezwa kwa standard za Tanzania. Hakuna kuweka mizigo juu dio sheria iko hivyo. Ukikutwa bus lako unaweka mizigo juu unapigwa faini na bus kufungiwa.

Ngoja niwapige kidogo mpaka iume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…