Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KDF ni wazembe sana yaani wanadondoka na machopper daily,na siku nyingine wanadondoka na parachute.. Wanajeshi wao ni unskilled sana,halafu pia serikali yao inapenda sana kununua vitu used..
Unskilled ni wale waliopigwa mapanga. Mwanajeshi unadedi kwa risasi sio panga,... Pumbaff wewe! 🤣 🤣 🤣
 
Umeona madhara ya kununua vitu used!??..government yenyu inapenda kitonga kununua vitu vilivyokwisha tumika...ona KDF sasa wanavyodondoka kama embe..so sad!
Wao na wale wa kufukuzwa kwa mapanga, gani ni majasiri... 😂 😂 😂
 
Wakunya wanachanganyikiwa na kariakoo hadi wanadhani ni CBD namna ilivyo na concrete jungle
Ulijua neno "concrete jungle", sasa kila wakati ni kulitumia hata imeisha ladha 🤣🤣🤣🤣 wacha tukufundishe neno lingine, sawa? 😂 😂 😂 😂
 
Watu saa hii wako kwa special economic zones kama ya dongo kundu ambayo ita create 100,000 new jobs once ikiisha. Mombasa inasukwa kila sector, dar ichukue tahadhari.
 
Simon amepost picha bila kumshambulia yoyote halafu wewe na akili yako fupi iliyo na utapiamlo unaanza kumshambulia.
Nyie wakunya mna shida mahali kwenye ubongo wenu.
 
Ulijua neno "concrete jungle", sasa kila wakati ni kulitumia hata imeisha ladha 🤣🤣🤣🤣 wacha tukufundishe neno lingine, sawa? 😂 😂 😂 😂
nionyeshe sehemu nyingine nilipolitumia,otherwise unawashwa ta.ko lete tulikune
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…