Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,763
Wacha ujinga wewe! La sivyo useme UK, Australia, Japan, UAE na nchi zoote za common wealth hazitumii magari ya GM! Unajua mi si level yako ya kudanganyana huko Tandale! BTW unajua ISUZU, Chevrolet, Jeep ni GM pia? Na DT Dobie ni dealers pia?GM huwa hawatengenezi cadillac za RHD labda iwe special order au upate gereji za kubadilisha.
Acha bangi wewe na kujifanya mjuaji.Wacha ujinga wewe! La sivyo useme UK, Australia, Japan, UAE na nchi zoote za common wealth hazitumii magari! Unajua mi si level yako ya kudanganyana huko Tandale!
Hii si ndo ile inabebaga Uhuru?KDF ni jeshi la wafu.
Wacha upumbavu
Hiyo kampuni siyo part ya General Motors bana, ni kagereji tuu hako.Wacha upumbavu
Cadillac Escalade Right Hand Drive - Autogroup International
Looking to get a Cadillac Escalade Right Hand Drive? We have been supplying Right Hand Drive for over 25 years. Contact the experts.autogroupinternational.com
Kwahiyo kuna best view kushinda hii pumbavu [emoji116][emoji116]We unajua umbali wa 1000miles au ndio umekurupuka km kawaida yako..
Alafu mbona unateseka na vitu simple tu, unajua maana ya best view kwanza before tuendelee
Usiseme hivo wasieke pazia🤣🤣🤣🤣🤣hio, 'the very best views of Mt Kilimanjaro is only found from Amboseli, Kenya'..
kenyareé tumeikulia kweli. tangu jadi... hio cheddar/dollar$$..😆😆😆. na bado......
Kadanganye wapumbavu wenzio wa Tandale!Hiyo kampuni siyo part ya General Motors bana, ni kagereji tuu hako.
Believe me GM hawatengenzi Cadillacs za RHD, kutoka kiwandani. Hii ni kwasababu soko la Cadillacs na GM trucks (Chevy na cadillac SUV) halijawahi kuwa nje ya US. Ndiyo maana nikakwambia lazima iwe special order au gereji binafsi ifanye hayo maboresho bila ya kuwa affiliated na manufacturer mwenyewe.
We hujiulizi kwa nini url hiyo (autogroupinternational.com) haina hata brand name ya general motors au cadillac?
Acha ujuaji Geza.
Acha ujuwaji kwa vitu usivyovijuwa, mimi ligi za hovyo siziwezi.Kadanganye wapumbavu wenzio wa Tandale!
Some economy don’t feature on top ten GDP list in Africa yet they know a lot of nothing about KENYA,FAKE NEWS PEOPLE!View attachment 1828777View attachment 1828778
View attachment 1828780
What about USA or JAPAN DEBT,do your research!What about debt to GDP ratio iko ngap au hio tusiongelee😂😂😂😂
Kwahiyo leo mnajilinganisha na USA au Japan nchi ambazo mapato yao ni makubwa mara bilioni ya pato lenu? Nchi ambazo wana bajeti za miaka 10 hata kama uchumi ukisimama so unajifananisha na nyie ambao uchumi ukisimama dk1 tu hata uji hampati? Hii mental laziness itawatoka lini nyie wapuuzi?What about USA or JAPAN DEBT,do your research!
Na mbn USA au Japan hawana njaa ya chakula sasa kama nao wana madeni km nyie, mbn hawaletewi misaada ya chakula, mbn bajeti zao hazisaidiwi km yenu?ukipata jibu nadhani ndo utaelewa kwnn Tz mnaizidi kwa GDP lkn inafanya miradi mikubwa kwa pesa ya ndani lkn nyie hata kilomita tano za barabara lazima msaidiwe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]What about USA or JAPAN DEBT,do your research!
First of all, don't ever compare any aspects of economy to those countries,What about USA or JAPAN DEBT,do your research!
Wako bize na petty issues wkt kina Kenyatta wanazidi kuimaliza ardhi yao kwa kuipora [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna uzi nimeupitia wakenya wanaoneshana magari ya mashindano. Hakika wakenya ni washamba mno. Huku Azam TV kuna Rally kila kona ya Tanzania. Nimewadharau na kuwahurumia, hawana exposure.
Sisi Tanzania tunaongelea hata:-