Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Maeneo yote yaliopakana na Tanzania yanaongea kiswahili na huko cost ni part of it, kama kiswahili kingekua chenu saivi Somalia, Sudan, Ethiopia na wenyewe wangekuwa wanaongea kiswahili
Historia uchwara
 
Haya nd matokeo ya bad education system nkt hata kijana hajui mandarin chinese is the largest spoken language in the world.... sasa ona ubaya wa kujifungia uswahilini tembea dunia ujue mengi na pia soma kitabu. Toa ushamba mtandaoni
The difference is, wao walikikumbatia kisa nyerere kasema..kumbe alikua na maana ya ficho, ndio manake mpka sasa wanateseka kw zile sera zake za kipumbavu
 
ongeza na hii pia apate kukuelewa vizuri[emoji1787][emoji1787]
 
Hii gari ya kwanza kushoto kuna Mji nakoishi anayo jamaa 1 tuu huwa anatulingishia Sana mara πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ni gari nzuri ila maalumu kwa kulia Bata.

Gharama yake si chini ya 200mil. kama ni zero km
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…