passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,837
- 13,071
Hizi gani ni za matumizi tofauti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huwa naangalia hii picha ya Nyumbu na kujiuliza maswali sana kama iko na wiper au la. Look at that windscreen! View attachment 1826278
CompareView attachment 1826277
Alikua anapita tu bahati mbaya sielewi alikua anatoka wapi
Elimu tanzania ni duni sana.Point of correction - "loser" not looser, "mediocre" not midiocre, & "equivalent" not equivalant. ✌️
wachana sio kiswahili, pia swara sio kiswahili. sijui kwa nini hampendi kuambiana ukweli mtu hakikosea. arrogance ya kipuuzi . kakosea ni kawaida accept it then move forwardKiswahili chetu sio lazima kifanane ni kiswahili chenu mbaya. Huku Kenya mnyama huyo anaitwa Swara. End of story. Full stop.
komora096 wachana na hawa wajinga. Unapoteza muda wako bure. Hata kiingereza cha marekani hakifanani na cha Uingereza. Hatutalazimishwa kutumia kiswahili chao kibovu. Sisi tuna kiswahili chetu.
Hii kitu ililetwa hapa kitambo sana! Niliuliza, engine/chassis ni yeye katengeza? Hapo ni body tu kaunda, hamna jipya! Imekuwa assembled hiyo!
Upumbavu mtupu. Kiswahili chenu kibovu wacheni nachowachana sio kiswahili, pia swara sio kiswahili. sijui kwa nini hampendi kuambiana ukweli mtu hakikosea. arrogance ya kipuuzi . kakosea ni kawaida accept it then move forward
kwa hiyo mngekua na fly over ya ubungo mngesema interchange with brt highway. kweli mkunya ni mkunya tuShow me ground from netherland interchange and nioneshe ground ya kwenu hapo hata hio pia huoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1826212
Hahaha!!atakuja kukwambia km hyo ni lugha ya mabeberu na wakati kitaani anawavimbia wenzake km anajua kingerezaPoint of correction - "loser" not looser, "mediocre" not midiocre, & "equivalent" not equivalant. [emoji3577]
"Hakikosea" sio kiswahili pia! 🤧wachana sio kiswahili, pia swara sio kiswahili. sijui kwa nini hampendi kuambiana ukweli mtu hakikosea. arrogance ya kipuuzi . kakosea ni kawaida accept it then move forward
Mpuuzi mwngine ni huyu hapa[emoji1787][emoji1787]wachana sio kiswahili, pia swara sio kiswahili. sijui kwa nini hampendi kuambiana ukweli mtu hakikosea. arrogance ya kipuuzi . kakosea ni kawaida accept it then move forward
Umemkamata mjinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]"Hakikosea" sio kiswahili pia! [emoji1784]
😬😬😬Umemkamata mjinga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakikosea ndio mnyama gani hyo
Jamaa wanapingana mpka na facts[emoji1787][emoji1787]Kiswahili chetu sio lazima kifanane ni kiswahili chenu mbaya. Huku Kenya mnyama huyo anaitwa Swara. End of story. Full stop.
komora096 wachana na hawa wajinga. Unapoteza muda wako bure. Hata kiingereza cha marekani hakifanani na cha Uingereza. Hatutalazimishwa kutumia kiswahili chao kibovu. Sisi tuna kiswahili chetu.
Wakikosea hutowaona wakiambiana ukweli cha ajabu utawaona wamejiunga wote wakitetea ujinga.wachana sio kiswahili, pia swara sio kiswahili. sijui kwa nini hampendi kuambiana ukweli mtu hakikosea. arrogance ya kipuuzi . kakosea ni kawaida accept it then move forward
Wanajiona kwamba wao waliunda kiswahili kumbe kiswahili kilikuja na waarabu.Jamaa wanapingana mpka na facts[emoji1787][emoji1787]
Kuna moja nilileta hapa ina mpka bendera yao lkn bado hawataki..
Matatizo ya R na L hawa majamaa yanawaumbua tu kila siku
Kiswahili cha kitoto hicho, hku "swala" wanasema wale watoto ambao wanajifunza kuongea[emoji1787][emoji1787]Upumbavu mtupu. Kiswahili chenu kibovu wacheni nacho
Kwn nyie ndio hamjajungana kukataa ukweli hapa, ninewatumia mara ngapi ushahidi lkn bado mumebaki malofa..Wakikosea hutowaona wakiambiana ukweli cha ajabu utawaona wamejiunga wote wakitetea ujinga.
Wanasahau kwamba "wrong is wrong even if everyone is doing it"
Fact mzee baba, bila waarab kiswahili hakingelikuwepoWanajiona kwamba wao waliunda kiswahili kumbe kiswahili kilikuja na waarabu.
Lugha ya Malkia hawaiwezi ila wanalazimisha tuu. Lakini labda alivyosema effluent huenda alimaanisha uchafu wa kibera na slum zingine [emoji23][emoji23][emoji23]Tena kaandika EFFLUENT.....hao ndio mabingwa wa Kiingereza.