Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahio hii huitaki sio, yani wewe umshinde mzungu akili ambae unavaa chupi yake. Hio barabara ya katikati imechimbwa chini πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ 🀣
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maskini wana tabu sana, yani nyege kidogo tu unajikuta tajiri, je ukitiwa kidole si utajiskia wa sayari nyingine kabisa
πŸ™†πŸΎβ€β™‚οΈπŸ˜πŸ˜‚πŸ€£πŸ”₯
 
Kwahio hii huitaki sio, yani wewe umshinde mzungu akili ambae unavaa chupi yake. Hio barabara ya katikati imechimbwa chini πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ 🀣 View attachment 1826215
Nioneshe ground level hapo iko wapi na inainekana kabisa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Kwahio hii huitaki sio, yani wewe umshinde mzungu akili ambae unavaa chupi yake. Hio barabara ya katikati imechimbwa chini πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ 🀣 View attachment 1826215
Hapa hutoki leo mpaka akili ikae sawaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ hii hapa haya tuoneshe underground hapo wakat 1st level iko sawa na ground level
 
Nioneshe ground level hapo iko wapi na inainekana kabisa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 1826216
Ground level iko kwa roundabout, hio centre road imechimbwa chini. Only three level roundabout interchange in afrika iko mombasa pekee. Manina πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ’‰
 
Swala wewe, toka hapa!!! 🀣 🀣 🀣 Umekuja na kiswahili cha mashambani hapa? 😁
 
Ametoroka tena 🀣 🀣 🀣 πŸ’‰ πŸ’‰ πŸ’‰ πŸ‘‡ πŸ‘‡ , hii barabara ya katikati inaanza kama groundlevel lakini ikifika kwa interchange inazamishwa chini ilikupisha ring road na flyover, mfano ni hii mikindani interchange.

 
Wacha usenge hakuna kitu kinachoitwa swara kwenye kamusi ya kiswahili kutoka Bakita.
Kiswahili hakijaanzishwa na bakita[emoji1787][emoji1787]
Kiswahili kilianza enzi za akina sultan km lugha ya biashara..sasa labda unambie km hao bakita ndio waanzilishi wa kiswahili...

Yani leo nilimuuliza babu akacheka sana yani, alafu jibu alonipa nikaona tosha haina haja nijibizane tena..
Kasema niachane na watz, wao hujitia ujuaji na kiswahili lkn hawana wanalojua kazi yao kujisifia kiswahili wanakijua nkm kilianza hko..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kasema bakita sio waanzilishi wa kiswahili muache kunihadaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mpuuze hyo mzee[emoji1787][emoji1787]
Anataka kulinganisha level na floors
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Huwa naangalia hii picha ya Nyumbu na kujiuliza maswali sana kama iko na wiper au la. Look at that windscreen!

Compare
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…