Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unasumbuka sana kijana wa 'California city'. Sasa nani hajui kwamba hizi ni picha za 2013 when a fire broke out at the main terminal building paralyzing operations at the airport? Umeona tu ulete picha za wakati wa mkasa wa moto ujifariji nazo! Unajua hamna majibu kwa mapigo mnayopata sasa ni mwendo wa propaganda tu.

Sikiliza bongolala, hakuna siku mtakuwa na airport inayofikia kiwango cha JKIA. This airport was ranked the best in Africa and 38th globally in 2018 by Airhelp, a fete I think it still holds to-date. Tunaelewa machungu yenu ila pole pole mtafika tu
 
Kw akili zake anaona nkm kile choo kitamfanya aonekane ana maisha mazuri, maskini[emoji1787][emoji1787]
Kwn shule hawa majamaa wanaenda kusoma nini jamani mpka ntu anakuja kufanya maamuzi ya ajabu hivi
😂 😂 😂 Noma sana, yaani asha panic vibaya, hadi kaona choo afadhali, labda hata yuko guest house! 😬😬😬
 
Afya kuchunguzwa muhimu KE, hatufukiziwi airport, wala hakuna malimao na swaumu!😬😬😷
BTW, hiyo ni tent ya kufanyiwa C-19 testing!
Achana na huyu. Analeta picha za 2013 wakati mkasa wa moto ulitokea JKIA. In one of the pictures, you can even clearly see two fire fighting engines zikimwaga maji. Wacha ajifariji
 
Kw akili zake anaona nkm kile choo kitamfanya aonekane ana maisha mazuri, maskini[emoji1787][emoji1787]
Kwn shule hawa majamaa wanaenda kusoma nini jamani mpka mtu anafikia kufanya maamuzi ya ajabu hivi
Nani huyo na kufanya nini? 😂 😂 Bring me up to speed
 
nakuru's industrial zone
nax vegas1.jpg
 
Ametuma choo leo? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kw akili zake anaona nkm kile choo kitamfanya aonekane ana maisha mazuri, maskini[emoji1787][emoji1787]
Kwn shule hawa majamaa wanaenda kusoma nini jamani mpka mtu anafikia kufanya maamuzi ya ajabu hivi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Noma sana, yaani asha panic vibaya, hadi kaona choo afadhali, labda hata yuko guest house! [emoji51][emoji51][emoji51]
Hehehehee, toilet tu imewastua hivi, mna maisha magumu sn nyie kunguni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna jamaa leo ka post choo hapa jukwaani, sasa sijui yaliyomfika ni yapi jamani Kim Dawizzy tena ile picha umesave kweli
Unataka nipost kingine? We sema tu sina shida mbn, coz niligundua kwamba nyie dawa yenu ni ground tu hakuna kingine [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom