Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu anapenda arguments za kitoto, nilimshtukizia kitambo.
 
Hata uwanja wa ndege kule Chato naona walijenga wakizingatia mahitaji ya maeneo yale! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kila kukicha wanalia waachiwe wakulima kuanika mpunga pale! [emoji1787]
Bwahahaa!!wao wanajenga kuangalia mahitaji[emoji1787][emoji1787]
 
Haikuwekewa future iwe na brt kwn hyo inayojengwa ni nn?
Alafu km ni hvo mumefeli sio kw ubaya, yani mabasi yanapiga km matatu[emoji1787][emoji1787]
Khee yani unashuka unaunganisha aisee
 
Anatuambia eti Mwanza inajitosheleza. And mind you this is their second biggest city. Ni kama kusema Dar pia ilikuwa inajitosheleza until one year ago when it had its first ever interchange. Hawa watu kwa visingizio hawajambo
Jamaa yani hata kujitetea hajui, sasa pale second largest city inajitosholezaje na wakati ina vitu kibao ina luck sana sana upande wa barabara
 
Yaleyale Tulisema tuπŸ˜† TZ wanajenga majumba atleast Nzuri karibu na main road,Huko nyuma kumejaa upupu🀣🀣🀣🀣🀣
 
Haikuwekewa future iwe na brt kwn hyo inayojengwa ni nn?
Alafu km ni hvo mumefeli sio kw ubaya, yani mabasi yanapiga km matatu[emoji1787][emoji1787]
Khee yani unashuka unaunganisha aisee
Toka hapo baba ndogo slum utoe tongo tongo,dunia nzima nchi zilizo brt,ukikata tiketi inakua na masaa kabla ya kuwa invalid,tiketi yako moja unaweza kuunganisha hata buses 5
 
Toka hapo baba ndogo slum utoe tongo tongo,dunia nzima nchi zilizo brt,ukikata tiketi inakua na masaa kabla ya kuwa invalid,tiketi yako moja unaweza kuunganisha hata buses 5
Kumbe brt zenyu ni za kukata ticket pekee, damn, na huku mnaringa. Wacha chai sasa, from my experience, brt hutumika smart cards 99% the 1% ni ya wale wa temporary, wasiokuwa na haja ya cards, i.e tourists nk..
NB-tickets haziwi na masaa Labda zenyu tu. Ticket ukinunua ni kama umechukuwa distance flani, so hata kesho yake unaweza itumia hiyo ticket kama hukusafiri. Haiwi invalid sababu bado haijawa registered kwa system. Toka kijijini uingie duniani, utoe togotogo! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Mpuuzi hyo, nilitaka kumuuliza km hukuitumia je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…