Mwanza hii hii inayojulikaniwa[emoji1787][emoji1787]Mwanza ni jiji, tena mwanza ni jiji kubwa na uzuri wa mwanza bara bara ni nyingi sana za mitaa ndio kinachofanya foleni isiwepo na pia over 90% ya street za mwanza zote paved roads na pili mwanza ina over 15km 4 ways from airport to CBD, na bado kuna barabara nyingi sana zinatanuliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] toeni akili chafu kwamba ukiwa na ile overpass ya kupanga tofali juu basi ndio ushamaliza
Hakuna kitu km old design flyover, ukitaka nenda kw engineers watakwambia[emoji1787][emoji1787]Hebu nikuulize swali ile old design flyover ambayo iko pale kondole kisumu hupitisha gari ngap kwa siku?? Just be frank[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani nilicheka sana
Hiyo ni carpet... π₯π₯π₯Ukambani region in kenya has better and bigger roads than tanzania. Kitui bypassView attachment 1820585View attachment 1820586View attachment 1820588
Duh! π¬πNyie kwenu mlishafeli kitambo[emoji1787]sasa tulieni dawa iwaingie..stendi ziwe pana kwn uliskia huo ni uwanja wa dhambi
Ulikuwa wataka barabara iwe inaelea kwa hewa ama?Mwendo wa tofali kwenda juu π€£π€£π€£ila wachina πππππView attachment 1820966View attachment 1820967
Ulikuwa wataka barabara iwe inaelea kwa hewa ama?
Nangojea 'bullet trains'... π Zikija ni tag fasta!Duh!!wenzaetu bado ndio wamekomaa na dar
Oh, nimeogopa sasa π±.......π π π π π π π π
Nani kakudanganya flyover lazima iwe ya nguzo tuMwendo wa tofali kwenda juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila wachina [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1820966View attachment 1820967
Ukimwambia akupe disadvantages zake atabaki kulia tuUlikuwa wataka barabara iwe inaelea kwa hewa ama?
Pole usiogope mutaZoea tu π€£π€£π€£Oh, nimeogopa sasa π±.......π π π π π π π π
Utajipigaje 'middle finger' mkuu, inakaa ndo mambo yenyu huko Dar is slum? π π πJamaa wana mbwembwe hao,imagine iko kikorido ndio ingekua stendi ya brt ya Tanzania hizo media zao zingekuaje sijui,but iko kunyaland wanasifia kwa uso ila moyoni wanajua kabisa kama wamejipiga middle finger
Kama akili yako ilivyo finyu, unakurupuka ovyo, hivi niogope nini kwenyu? π π πPole usiogope mutaZoea tu π€£π€£π€£
Am sure hata watanzania wenzako wanakushangaa kimya kimya. Na ndio maaana kila siku nasemanga wewe ni wa kupuuzwa tu. Sasa unaleta picha moja umepigwa mara ishirini in different angles alafu unajiona unamake sense. Picha yenyewe ni ya vijigorofa viwili! Hii ndio density bongolala? Hizo picha umeleta hapo zinaweza fananishwa hata na hii picha ya Luckysummer kwa concentration?Dar isikunyime usingizi π€£π€£ jengeni nairobi bado sana mzee
Na hii ni magomeni mapipa na mikumi tu bado hata robo ya magomeni hatujafika ππππ
View attachment 1820950View attachment 1820951View attachment 1820952View attachment 1820953View attachment 1820954View attachment 1820956
And Tz borrowed from Queen to pay Qing yuan, but Queen refused... π¬π¬π¬Kenya is borrowing Peter to pay Paul