Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukweli mchungu!!!Kwa walioelimika watalichukua na kulifanyia kazi kwa manufaa ya Wakenya na huduma iliyokusudiwa kwa watu wote.
 
Hapo hakuna mambo ya kurundikwa watu wa kwenda sehemu zote mbili km hko kwenu[emoji1787][emoji1787]
Kwn nyie ni bata, mradi bado haujaisha jamaa mshaanza kulialia jamani
Wanachekesha. Wengine wao washakua experts wa brt. Ile yao unangoja basi masaa mawili ndo wanataka tuige...... ile yao ilifeli kitambo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa wana mbwembwe hao,imagine iko kikorido ndio ingekua stendi ya brt ya Tanzania hizo media zingekuaje sijui,but iko kunyaland wanasifia kwa uso ila moyoni wanajua kabisa kama wamejipiga middle finger
"Ili na wao waonekane wana BRT"

Huku Tanzania tukijiandaa kuanza ujenzi wa awamu ya tatu ya BRT [emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Ili na wao waonekane wana BRT"

Huku Tanzania tukijiandaa kuanza ujenzi wa awamu ya tatu ya BRT [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa wanakosoa humu ila kimoyo moyo wanaumia sn, so hawawezi kusema humu wanaenda kusemea twitter [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata mh aliepita alikua anaishi sana DAR, Yani ni DAR -DOM
 
Wamekimbia uzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…