Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania MINERALSlargest gold mines, LPG, diamonds, gemstones; rubies, aquamarine, tanzanite, sapphire; emerald, rhodolite, opal, zircon, alexandrite, garnets, tourmaline, spinel, peridot, iolite, Iron ............ not to mention 90% arable land, no terrorism, no tribalism, no opposition to the government...
KENYA BARELY has any minerals ..SODA ASH
who has a bigger economy again? should you be proud? or ashamed
 
Mineral resources in Kenya include gold, iron ore, talc, soda ash, some rare earth minerals and gemstones. Gold is mostly restricted to the westernmost part of the country, while areas around Mobsasa host limestone, niobium, iron ore, gemstones and salt.

 
Na haijatumika hata 5% bado 🤣🤣🤣 kama gas hata 3% hatujatumia sasa ndio ujue bado muna kazi sana, tanzania ni nchi ya amani na utulivu, nchi ambayo infaltion rate yake haizidi 3.5%, nchi ambayao kila mmoja ana dream ya kua na plot pamoja na nyumba kwasababu ya sera nzuri ya ardhi, 😄😄😄
 
Na utakuta ziko chini ya kikuyus 🤣🤣🤣
 
'kila mmoja' eti, yaani akili yako inakudanganya hivyo. Hao hapo chini pia wana dreams hizo bado?


Wenye dreams kwenyu ndio ka hao hapo chini! 👇
 
Kenya has very limited minerals resources. Hata hiyo gold unayotaja hapa inatoka kidogo sana. Hizo minerals umetaja hapa haziingizii Kenya pesa yoyote ya maana na ndio maana unaona kitu kama gold mining serikali haishuguliki nayo sana. Ndio maana hakuna mineral ambayo iko kwenye top ten ya Kenya's export products ila kwenu gold is the leading export product
 
Mna uchumi upi wakati 99% mnaishi kwenye slums, 45% jobless 67% food donations dependency, highest taxes than any country in Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…