Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa ukiambiwa hamna vita mumepigana unakasirika nn?? Mambo ya albino na vita ni wapi na wapi ??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usijali, najua mlipigana Kagera, wajaribuni sahi! 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Usijali, najua mlipigana Kagera, wajaribuni sahi! 🀣 🀣 🀣 🀣
Tanzania imesaidi nchi nyingi sana kwenye harakati za uhuru ikiwemo south africa, angola, zimbabwe, rwanda and burundi,congo, malawi, mozambique, uganda etc πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ hii nchi inahistoria kubwa
 
Ushakuwa manager wa Gor leo? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ team kubwa kenya hiii nioneshe office building ya gor mahia ukipata nitag nifunge acc
 
Kuingia afcon ujue ni pesa tu πŸ˜„πŸ˜„ alaf mpira tanzania ndio biashara yenye pesa nyingi kuliko nchi zote za east africa combined na derby ya simba na yanga ni derby kubwa ya tatu africa take it or leave it
I'll leave it!... Sipendi chai, mkimbiaji mmoja wa KE, anaweza mlisha mchezaji wa mpira Tz mwaka mmoja bila shida! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Wataka kusema hakuna ufisadi Tz? 🧐😬
Ufisadi africa upo ila unazidiana tanzania upo lakini ni mdogo sana kulinganisha na kenya au nigeria ambao ni magwiji wa ufisadi na inatumbulika dunia nzima 🀣🀣🀣🀣 kitu cha 1m mkenya anakwambia 1b
 
Umekasirika mzee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]emu rudia tena, eti nini vile..
We kubali tu hamna ubavu huo, mombasa varabara za mitaani nyingi ziko hvo
 
I'll leave it!... Sipendi chai, mkimbiaji mmoja wa KE, anaweza mlisha mchezaji wa mpira Tz mwaka mmoja bila shida! 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
Kuingia afcon kuna pesa sasa nioneshe hio pesa gor mahia ilipata alaf ikafanya jambo kubwa kwenye team ukipata nitag 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…