Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutwa mnakesha Jamii forums kuliko sisi wenye mali, na ifikapo 2025 90% of kunyans will join Jamii forums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hiyo huruma uliyoweka hapo ndo ina unafuu...we kweli una uchizi,yaani ukiiangalia tu hiyo picha ya huruma unaweza kutoa machozi si sehemu ya kuishi binadamu..
😂 😂 😂 😂
Sasa utalinganidhsje huruma yenye iko na nyumba za gorofa self-contained houses na hizi uwazi hovels zenu ambapo hata pa kupumulia ndio hakuna?
 
Kutwa mnakesha Jamii forums kuliko sisi wenye mali, na ifikapo 2025 90% of kunyans will join Jamii forums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ata FB, WhatsApp, Insta, Twitter, nk tutaongoza tu, it's in our genes...Hii ni biashara kwa ndugu zako, ukumbuke hivyo! 🤣 🤣 🤣
 
Unamuongelea huyu chizi nimemkuta banana mwezi uliopita hana mpango wowote, huyu c chizi tu km wewe [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…