Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kitu Kwa Ground bado Unasema Render [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi huna macho wewe ukaona nimeuliza, au wajiskia nikujibu tu, kilaza nini? 😂
 
Foreign Private developers as usual, serikali yenu fukara sana haiwezi provide decent houses kwa watumishi na ninyi Mpo wa chafu kama nguruwe Hamuwezi kukaa kwenye nyumba yenye hadhi
Tunajua nyumba zenye hadhi kwenu ndio hizi hapa. Dreamhouses 😂 😂 😂 😂
 
Kunyaland na slums zile akutake nani!bongo wamarekani wamejaa moro,kilimanjaro,arusha,dar ndio wa kumwaga,TZ peaceful country bro,hata hao wakunya wanaoleta unaa humu jf wanawish sana wangekua wabongo
Yaani sahau kabisa, citizenship, najinyonga kwanza! 🤣 🤣 🤣
 
Mtu kapagawa anakuambia hii ni render [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo picha hazifanani na yake, alafu amesema Bongo na Zenji iko Bongo last time I checked! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Au sio [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Foreign Private developers as usual, serikali yenu fukara sana haiwezi provide decent houses kwa watumishi na ninyi Mpo wa chafu kama nguruwe Hamuwezi kukaa kwenye nyumba yenye hadhi
Hata wewe mwenyewe hapo unajua naandika lakini ni mimavi na ulaza ninaoandika hapa, serikali haijengi, mafundi na contractors ndio kazi yao, serikali ni kupokea manyumba au units walizoagiza, period. Shule muhimu nani! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…