Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka iwe ya TBC? Hujaona na hiyo African Development Bank?
Kuna siku nilikuuliza ulete source yako yenye inaweka Tanzania mbele ya Kenya na umeshindwa hadi wa leo. Si unyamaze tu basis na uzidi kusoma number?
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 leo nimecheka sana aisee wewe ni kilaza wa level yakipekee standard bank na middle class ni mbingu na ardhi

tanzania ina dollar millionares times 3 kenya uganda and rwanda combined

dar ina middle class wengi tena wenye vision zaidi kuliko nairobi

kenya ina maskini zaidi ikiongozwa na kibera na slumz zingine πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

hata hili linahitaji ramli au????
 
Mbona hii hupost sasa πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡au hapa wanaishi mbuzi na kondooo
 
Wenzio wanahesabu ni flyovers ndio maana na cc tutahesabu pale Mfugale ni flyovers mbili, Uhasibu mbili, Chang'ombe mbili, kijazi mbili.
Geza kakuumbua[emoji1787][emoji1787]
Sema tu ilikua hujui km hzo si flyovers
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 leo kenya inafananishwa na Zimbabwe jamani si maajabu ya dunia au kiyama kimekaribia? Ile ushuzi wa GDP uko wapi πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

unemployment rate 40%
Extreme poverty worse than zimbabawe
Gap between rich and poor is high
Inflation 6 to 8%
Land is there for few

sasa hapa tunashindana nn???😁😁😁

sio mm niliosema ni world bank πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Zilijengwa miaka mingap iliopita 🀣🀣🀣
Kuna project gani munajenga nyinyi zaidi ya mchina kujenga expressway yake na kesho muwe watumwa kwa kulipa pesa ?? Ni project gani nyingine ???🀣🀣🀣🀣

wakat hio dam ni 3b usd hebu tafuta project angalau kama hio tuone 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…