Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,927
Acha kukurupuka, nilikuwa namnukuu kwa kejeli yule mume wenu Mwendazake,au nasema uongo ndugu zangu? msema ukweli ni mpenzi wa Mungu π π π πUmeibiwa na nani ?? Hebu taja aliekuibiwa unaleta chuki zako za siasa kwenye manufaa ya wengi??ππ ww tunakujua kuna sehemu uliminywa ipasavyo
Deni la tanzania ni 32%
deni la kenya ni 86%
sijui humu tunashindana nn πππ
π π π π€£π€£π€£πππRoad trips ni lazma kwasababu anakagua miradi ya nchi na alisema hawezi kwenda nje wakat ndani kuna safari ya maendeleo ππ na alisema watakaonda nje ni wasaidizi wake mbona hilo liko simple
tatizo lenu munamchukia bure wakat hawahusu kabisa ππππ
Magari ya watalii rudisha porini.π€£π€£π€£ unanichukuliaje wewe
View attachment 1814236View attachment 1814237View attachment 1814238
Kweli kabisaAcha kukurupuka, nilikuwa namnukuu kwa kejeli yule mume wenu Mwendazake,au nasema uongo ndugu zangu? msema ukweli ni mpenzi wa Mungu π π π π
Wenye lugha yao wanawakana, 2 million some how speak it π π π
Estimations by bloggers, OMG! ππΎββοΈπ€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Nakama sisi wanatukana na Nyinyi Sasa watasemajeππππ€£π€£π€£π€£π€£
Alikuwa mbichi bado, hakuwa ameanza kuonyesha his true colours... πSo 2016 hakua rais ama ?? πππ
ππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈππΎββοΈπ€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππππππ¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬πππππππππππππππππππ π π π π π π π€£π€£π€£π€£π€£π€£Nakama sisi wanatukana na Nyinyi Sasa watasemajeππππ€£π€£π€£π€£π€£
Uko sawaMy opinion, Magufuli regime ili prioritize ujenzi kwa kunyonga sector mingi sana, Uchumi wa Tz ni hafifu sana kufanya miradi bila kukopa, vyanzo vya kutega uchumi haviwezi tosheleza mahitaji ya budget, same as Kenya to some extent, itabidi unyime sector muhimu kadhaa fedha, ama ukope kimya kimya., otherwise education must be a priority.
Wenye lugha ni kina nani? Babel.com??
Kweli ninyi vichwa vya wendawazimu pamoja na kuabudu English lakini hata million 3 hamfiki π π π πEstimations by bloggers, OMG! ππΎββοΈπ€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
English sio chochote Tanzania hata wakisema hamna speaker shwari tuNakama sisi wanatukana na Nyinyi Sasa watasemajeππππ€£π€£π€£π€£π€£
Mzungu kasema hamjui kuongea kama yeye π π πWenye lugha ni kina nani? Babel.com??
Swala ni huyu mnyama,Anabana matumizi wapi, ilkuwa chenga kwa raia wa bongo. Expenses zake alizotumia kwa msafara wa magari ndani ya nchi, akiongozana na officials kibao nyuma ilikuwa kubwa sana. Hebu waulize wanajua kinagaubaga swala hilo. [emoji23]
Acha kunifurahisha, mkuu hata grandma wangu yuko radhi umzungumzie kiingereza sababu ataelewa, alisoma, ila sio Kiswahili, hicho alisema alikianguka akiwa shule.Kweli ninyi vichwa vya wendawazimu pamoja na kuabudu English lakini hata million 3 hamfiki π π π π
Ndio maana wanasiasa wenu wakitaka kuongea na mkenya wa kawaida wanaongea vernaculars sababu English is not reachable π π π