Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunaeza fananisha na hii jahannam ya duniani 🤣🤣🤣👇👇👇👇 wazungu badala kuja kuangalia wanyama africa wanakuja kuangalia maisha ya binaadamu




Sasa unalinganisha dreamhouses zenu na slums zetu?😂 😂
 
Sasa unalinganisha dreamhouses zenu na slums zetu?😂 😂
Hzo house anaishi maskini wa tanzania mwenye nafuu mara 200 kuliko maskini wa kenya na ni nyumba zimejengwa kwa blocks nyumba nzuri kabisa ambayo mtu kutoka kibera akiambiwa aishi hapo tayar anajua kashaingia peponi 😁😁😁 yani mzungu anatoka ulaya kuja kushangaa maisha ya slum ya kenya hvi hamuoni ajabu
 
Sasa unalinganisha dreamhouses zenu na slums zetu?
Mpk leo Wakenya bado mnakwepa kutuonesha nyumba za mkenya wa kawaida, mbn cc tunaonesha
IMG_20210523_154129_820.jpg
Screenshot_20210530-181748.jpg
IMG_20210523_181924_827.jpg
IMG_20210523_154705_966.jpg
IMG_20210523_154716_159.jpg
IMG_20210523_153353_029.jpg
 
Kijana wacha ukichaa!
Unaona hizo ni nyumba za kushtua mtu wewe?
Sisi hatumliki nyumba. Tunaishi juu ya miti na kuna baadhi yetu pia wanaishi ndani ya maji
Wengi wenu ni kweli hammiliki nyumba, hamlali juu ya miti ila hamna nyumba mmepanga bedsitter na huo ndio uhalisia wa maisha ya mkenya.
 
Hebu angalieni wakenya wakicheza kwenye tamasha zao yani nimecheka kwa sauti kubwa yani hata swaga ya kuvaa hawajui 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
 
Hzo house anaishi maskini wa tanzania mwenye nafuu mara 200 kuliko maskini wa kenya na ni nyumba zimejengwa kwa blocks nyumba nzuri kabisa ambayo mtu kutoka kibera akiambiwa aishi hapo tayar anajua kashaingia peponi 😁😁😁 yani mzungu anatoka ulaya kuja kushangaa maisha ya slum ya kenya hvi hamuoni ajabu
Kama hizo ni nyumba za maskini wa Dar bado unachodhitisha ni kwba Dar Ni mji wa masijini kwa sababu hizo nyumba za uswazi ziko kila mahali Dar. Kuna video Fulani niliona ya Oysterbay pembeni ni nyumba za uswazi tupu
 
Actually you don't know English
Failing to understand the word 'via' on transportations, you are so limited and sick.
I already told you that you can't teach me anything about English as a language. You might have learnt the meaning of that word today so you think you can flex your muscles here. I knew the meaning of that word nikiwa primary kijana wa Tandale; its not a new word to me like it appears it is to you. Let's talk about some other things but not about who knows what in English. Na kama unajiamini sana, tuingie kwenye darasa
 
We watchman mbn cku hz umepoteza radha ya battle why???
Huyu gasho Nicxie ni wa kupuuzwa huyu.
Just a few moments back you were asking about my whereabouts. Right now unalia nachozi baada ya kukupa dawa kupitia mkun**ni. Tulia kwanza dawa ikuingie kijana wa Tandale ndio uite vilaza wenzako wa Tandale waje wakusaudie
 
Back
Top Bottom