Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kitu Guanzhou, kudadadeki tafuta location km hiyo Africa hii ukitoa SA, Egpty na Maroc ukipata njoo unitag

N.B
Sitaki unionyeshe dongo jekundu mm, weka kitu hakuna mchanga km Europe Cities
JamiiForums783266173.jpg
 
8 June 2021

Tanzania's 4k Virtual Video Ground level Tour of Dar es Salaam


The largest city in East Africa - Scenery, daily impressions, Africa's most Peaceful city.
Source : Faith Kindhearted
 
☝️. 😂😂😂 We punguani kweli 😂😂 kwanza huyu mpuuzi Coco reborn kakuingiza chaka, kiwanda alichopost hapo inaonekana kwenye vifungashio ni made in Nairobi, alaf kuhusu viwanda mzee Arusha Ina viwanda kibao, kaa kwa kutulia haujui kitu, Nakuru and kusumu combined haziwezii kuipita Arusha in all aspects

☝️ 😂😂😂 Imekuaje msiweze kujenga miji yenu.?
Mshaanza kuogopa nakuru 😁 😁 😁
 
Starehe gharama wazee
emoji1787.png
Screen saver, daadadeekii
Eastern Europe maamaeee, starehe gharama
emoji116.png
emoji116.png
emoji1787.png
Concrete jungle, daadadeekii, starehe gharama
emoji1787.png
emoji1787.png
View attachment 1812893
Kitu Guanzhou, kudadadeki tafuta location km hiyo Africa hii ukitoa SA, Egpty na Maroc ukipata njoo unitag
emoji1787.png


N.B
Sitaki unionyeshe dongo jekundu mm, weka kitu hakuna mchanga km Europe Cities
emoji116.png
Yale yale tulisema, ona sasa ulivyorudia kisehemu kidogo cha dar, picha moja tu ingetosha👇👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Mamaye
7499239_5402161425111359aabdb_jpegfd1cff5ae330298f0f7cec256e4db71e.jpeg
 
Back
Top Bottom