Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar es Salaam Dar
IMG_3303.jpg
 
Kuwa na 'Likes' nyingi si hoja, kitu ni hao wawili wa Nigeria aliwashindia likes, ako level yao kimuziki??? Na ni Waafrika kama yeye sasa! 🤣 🤣 🤣
We punda milia hujui chochote kuhusu mziki kaa kimya, hiyo sio mara ya kwanza Platnumz na WCB kufika hapo.. hii apa ni 2017
rayvanny_1623148189244457.jpg
hao wapuuzi wote Platnumz ameshawakalisha kwenye tuzo tofautofauti, Kabati lake la tuzo zipo zaidi ya Hamsini
issaazam_1623148610622939.jpg
Screenshot_20210608-134530_1.jpg
wewe ndio ni walking died huna unachojua mfanya usafi airport wewe.. bro The best 007ongea na huyu mfanya usafi airport
 
We punda milia hujui chochote kuhusu mziki kaa kimya, hiyo sio mara ya kwanza Platnumz na WCB kufika hapo.. hii apa ni 2017 View attachment 1812339hao wapuuzi wote Platnumz ameshawakalisha kwenye tuzo tofautofauti, Kabati lake la tuzo zipo zaidi ya Hamsini View attachment 1812349View attachment 1812359wewe ndio ni walking died huna unachojua mfanya usafi airport wewe.. bro The best 007ongea na huyu mfanya usafi airport
💉 💉 💉 Mondi hawafikii Kimuziki, kihela... Sio leo wala kesho! And you know it! Just cry, I won't mind! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
💉 💉 💉 Mondi hawafikii Kimuziki, kihela... Sio leo wala kesho! And you know it! Just cry, I won't mind! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
We mjusi kafiri, kuhusu hela ndio usiseme kitu, Mondi ni level nyingine kabisa, hao ni watoto wadogo tu pande zake
 
kesho kutwa anaenda mwanza kuweka jiwe la msingi la SGR lot 5.. lots 3 na 4 soon mkandaras atapatikana

(kama nimemsikia vizur kasema mkandaras sio wakandaris.. mean lots 3 na 4 zitajengwa pamoja) probably tutapata taarifa zaid akiwa mwanza

akiwa mwanza atazindua meli mbili.. ya abiria na mizigo

Great News.
 
Back
Top Bottom