Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm nakwambia wakenya ni vilaza wa akili wao wanahisi ukiweza rent bedsitter basi maisha umepatia 🀣🀣🀣 wamebakia kusifu estates za wenyewe na wanajulikana

alaf anakwambia yeye ananyumba ya urithi ushagoo alaf huyohuyo awe na ndoto ya kumiliki ardhi nairobi labda dunia ibadili njia
 
Nicxie sheria za ardhi england na kenya ziko sawasawa??🀣🀣🀣 hvi unajua england majority own houses au unafkiri ni kama kenya wanaomiliki ardhi n nyumba ni wakuhesabika na ni wale wale πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

estate moja yenye nyumba 20 kenya unaeza kuta wote wamerent na mmliki ni mmoja tu na huyo huyo mmliki biashara yake anategenea nyumba tu
 
Walitaka na magu afanye hayaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ alaf hawa hawa wawe na mawazo ya kununua plot πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
🍼 Nilikwambia usithani KE Ni TZ(Aka Bongo lala land) unathani eti mtu akikomboa Nyumba inamaanisha Hana Nyumba yake Ambayo amejenga,πŸ˜†Watu wengi ambao wako Nairobi Wana Nyumba zao sehemu zingine,wamekomboa Nyumba Nairobi ili wafanye BiasharaπŸ™†πŸ€
 
Jibu swali alaf anza kulia sasa 🀣🀣🀣
Wana nyumba watoe wapi?? Ikiwa 2.5m people wako kibera na zile slums zingine wanaishi sokwe ama??🀣🀣🀣🀣

Ardhi kenya inashikiliwa na watu wachache sana na hili linajulikana dunia nzima hata kama utaficha aibu mm nikupe pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…