Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa tunajadili nini kuhusu Nakuru kumbe hakuna mji hapo dah.
 
Picha zenyewe za 80's... Leta latest mkuu! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
You are with the shits under your pant!!!!..that's why you are talking bullshits...hueleweki yaani mpo kama zombie si English wala Swahili mnachojua..
Huo u zombie wetu ndio raha sasa, mwapata taabu sana naona... 😂 😂 😂 😂
 
Huwa nikiandika comment zangu huwa nakuwa na majibu ambayo mtakuja kureply.
Nilijua lazima utakuja kuandika hivi.
Kazi ni kuingia kichwa kichwa kwenye comments za wenyewe.
 
hold bro let me check in my bag and see if I got any fucks left to give.....mmhh I'm sorry I'm fresh out of fucks. I guess it's safe to say I don't give a f*ck about what verbal diarrhea you serving up
Bro, cool down, utafanya akimbie... 😬😬😬🤣🤣🤣🤣
 
Nakura haina hadhi ya mji wowote Tz vigezo vya public amenities tuu says alot no need of going further.
Nilijua lazima upanic 😂😂😂😂 ukipata town ama city level yake nitag tupige battle.
 
Naks vegas ndio Las Vegas au? Hii minyani kwa kuiga iga hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani umesahau mnaita ile fishing village yenu ya uswazi eti New York? 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…