Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umebadili gear hewani, mbona tena mzee..we si ilikua hutaki watu wajue lugha inayotumika katika utoaji wa elimu yetu[emoji1787][emoji1787]
Wewe huwa sikulaumu maana ni mjinga na ni mkumbaf.

Huwa unakuta comment ya mtu na kuibadilisha ili upate kuijibu.
Kama ni muziki ni sawasawa na kutoka nje ya biti kabisa.
 
nimegundua tu kumbe watu wako Skuli humu JF. kumbe JF ni shule ya watzii kujifunza kingereza toka kwa wakenya. hio nilijua nikiwa 'kisumu vs mwanza'. ata hawajui maana ya Skyline, CBD, City Proper, Metropolitan Area, Peri-urban, Suburbs. etc
Naona comment yangu moja imewapenya Jaluo hadi kunako mferejini.
Utadhani mimi ndio nimewapa accent mbovu.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…,,Na Sasa after hio expressway from Nairobi to Nakuru ikimaliziwa watapotelea wapi??πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bruh cheza chini..... actually sitacheza chini. magu alikufa wakapata suluhu. hiyo highway ilimalizika itawatesa sana labda watapa suluhisho nyingine huko Zanzibar( see what I did there, yeah I got all the fuckery with me tahday!!!) kikihboy ...I'm on one my dude😁😁😁
 
Wakunya mnaongea mavitu yasiyoeleweka yaani mpo kama zombie
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo kweli nakuru imeendana na jina kabisa haijakosewa kupewa hilo jina
 
of course a bongolala would complain about not understanding things. no surprises there.

bruh don't try me, Im with the shits today homeboy
You are with the shits under your pant!!!!..that's why you are talking bullshits...hueleweki yaani mpo kama zombie si English wala Swahili mnachojua..
 
Now, you got it ..zungumza kama hivyo kidooogo sasa unaeleweka sio unakuwa kama mlevi,unazungumza ujinga kama zombie
hold bro let me check in my bag and see if I got any fucks left to give.....mmhh I'm sorry I'm fresh out of fucks. I guess it's safe to say I don't give a f*ck about what verbal diarrhea you serving up
 
hold bro let me check in my bag and see if I got any fucks left to give.....mmhh I'm sorry I'm fresh out of fucks. I guess it's safe to say I don't give a f*ck about what verbal diarrhea you serving up
Unajikuta black america wakati ni mjaluo wa kisii...sasa hivi unaeleweka,keep it up
 
Si ndio nyinyi ambao mnachukia wazungu, inakuwaje leo kutaka kuongea na accent ya kwao??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Tena kuzidisha, unashobokea wenye accent ya kizungu eti nzuri, aah kweli nimekuelewa mkuu, utafika hata wewe huko, ama nikuvushe huku niko ndio uwe na accent hiyo? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…