Fabio santolo
JF-Expert Member
- May 21, 2021
- 321
- 241
Hujui maana ya kudondoka???...hahahaa ulishawahi kuona avocado iki fall down baada ya kuiva juu ya mti!??..huko ndo kudondoka yaani tiiiii kutoka juu ya mti hadi chini..kwa hiyo makomando wenyu wamedondoka kama avocado au embe iliyoiva toka juu ya mtiKudondoka ni nn?
nimegundua tu kumbe watu wako Skuli humu JF. kumbe JF ni shule ya watzii kujifunza kingereza toka kwa wakenya. hio nilijua nikiwa 'kisumu vs mwanza'. ata hawajui maana ya Skyline, CBD, City Proper, Metropolitan Area, Peri-urban, Suburbs. etcYaani niwaonee wivu watu wanaoboronga English pamoja na accent chafu.
Kuwa na adabu.
Zimbabwe wana kingereza safii kabisa.
tafuta utapata...Nionyeshe yenyu, mambo ya kawaida sana! [emoji1787]
tafuta utapata...
endeleeni kuvunja viuno na mgongo kwa parachutes..
KDF stupid army
Mbn wewe hujui kukiongea au hujaenda shule?We tayari ni mjinga, km tayari ushajiaminishia mtu kuongea lugha ambayo ilitumika shuleni kutoka la kwanza mpka chuo kwako ni kujitapa..km sio wivu ni nini huo, ama ndio ile tunaita unafiki wa viwango[emoji1787][emoji1787]
Wakenya kingereza ni official language, haiwezekani mtu miaka yote ufunze kw lugha flanu alafu ushindwe kukiongea
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakuru airport, phase 1 expected by 2022View attachment 1807431View attachment 1807432View attachment 1807433
Tayari washaongopewa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakuru airport, phase 1 expected by 2022View attachment 1807431View attachment 1807432View attachment 1807433
Ndivyo alivyokuongopea Mama Ngina au? Angalia video hapo chini, ni 3 years back na bado nakutafutia current video ili usije ukathubutu kuongea upupu km huo, angalia apo waziri wako alifanya tour kunako Fumba town Zanzibar, Kenge kweli wewe usije ukarudia, tuko mbali sn kwa sasa[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa wewe ni nini unafanya!?
Hiyo takataka unaleta hapa ya nini.
Hakuna mji Kama Lamu Tanzania. Eti Fumba[emoji15][emoji23][emoji1787]
View attachment 1807443View attachment 1807444
Charcoal stadium [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]View attachment 1807452View attachment 1807453
Hata mtoto wa kindergarten hawezi kukuelewa, ndio umemaanisha nini hapo, au wewe ndio mwenye kandarasi? 😂 😂 😂Tayari washaongopewa [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1807470View attachment 1807471
Naks vegas ndio Las Vegas au? Hii minyani kwa kuiga iga hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naks Vegas highways
Kumbe ushaelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata mtoto wa kindergarten hawezi kukuelewa, ndio umemaanisha nini hapo, au wewe ndio mwenye kandarasi? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Render hata zako! 😬😬😬Ndivyo alivyokuongopea Mama Ngina au? Angalia video hapo chini, ni 3 years back na bado nakutafutia current video ili usije ukathubutu kuongea upupu km huo, angalia apo waziri wako alifanya tour kunako Fumba town Zanzibar, Kenge kweli wewe usije ukarudia, tuko mbali sn kwa sasa[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1807476View attachment 1807477View attachment 1807478View attachment 1807479View attachment 1807480
Kwani ujenzi wenu mmeusahau au? Hapo yatapangwa matofali zen kwisha, render inaelekea North, actual thing West, hamjawahi kufatisha render[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata mtoto wa kindergarten hawezi kukuelewa, ndio umemaanisha nini hapo, au wewe ndio mwenye kandarasi? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Render eehh kudadadeki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Render hata zako! [emoji51][emoji51][emoji51]
Sasa wewe ni nini unafanya!?
Hiyo takataka unaleta hapa ya nini.
Hakuna mji Kama Lamu Tanzania. Eti Fumba😳😂🤣
View attachment 1807443View attachment 1807444
hiyo video inatesa hadi mabongolala hawana suluhu😉 ila kutii tu.Naks Vegas highways
Hata JKIA, MIA nk zote pia zilianzwa kwa kupangwa matofali, leo hii! 🤣 🤣 🤣 🤣 Wacha yapangwe tu, alafu kikiisha tutajua...Kwani ujenzi wenu mmeusahau au? Hapo yatapangwa matofali zen kwisha, render inaelekea North, actual thing West, hamjawahi kufatisha render[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha uchizi, weka ground view, hatutaki aerial view... 😂Render eehh kudadadeki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]