Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uhehehehe unataka kudanganya ulimwengu kua 2020 pamoja na covid kuwachanganya kisawasawa ndio mumepata millionares zaidi ya 2019 🀣🀣🀣🀣🀣 au Mungu ana hekalu kenya ???

hio hio covid imewakoseha ajira zaidi ya watu million 3 kenya alaf millionares ipande kwenda juu hebu weka source ya 2021 kua kenya ina millionares wengi kuliko tanzania
 
Haya oneni mtu anaandika gazeti zima kwa hasira kali 😁😁😁😁 nonsense

leo hii tunaongea mm na ww kuna wazungu wanamiliki arable lands heka kwa maheka je mm nasema uongo??? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

nani hajui leo familia ya kenyatta inamiliki ardhi heka kwa maheka je mm naongea uongo??πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

je nani hajui leo politicians kama joho anamiliki mashamba lamu na malindi pamoja na maeneo ya dhulma kibao mombasa 🀣🀣 najua unaumia na ukweli unaujua

nani hajui leo familia ya arap moi inamiliki ardhi heka kwa maheka πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

nani hajui leo familia ya kibaki inamilikia radhi kubwa heka kwa maheka ??πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

nani hajui leo familiya ya raila odinga inamilikia mashamba makubwa heka kwa maheka ??😁😁😁

Nani hajui leo kama politicians na viongozi wa serekali wanamilikia mashamba kubwa na miradi mikubwa mikubwa kenya vi kenya kuna politician maskini kweli?? Leo zungumza ukweli bila kilio πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Tunanunua ngano kwa wakulima wenu kisha tunawarudishia ikiwa unga wapike chapo na mahamri πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Azam anakiwqnda kikubwa cha unga wa ngano africa nzima πŸ˜‚πŸ˜‚ umesahau mulinyima kibali kuekeza mombasa yule mombasa maize millers akaenda kuhonga bungeni wasipitishe

Azania second biggest company in east africa after azam wana viwanda rwanda, burubdi, malawi,zambia

camel flour

mo safi flour

nyati flour mills

etc
 
Tunanunua ngano kwa wakulima wenu kisha tunawarudishia ikiwa unga wapike chapo na mahamri πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Labda hujui maana ya unga wa ngano πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Blah blah blah za abunuasi no factsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, semi illiterate weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., unatamani sana wakenya wakue vile unafikiria ili ujiliwaze lakini halitatokea., stay in your lane aloneπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
In fact the Delameres have currently sold most of the Delamere farm. These Tanzanians are idiots. Other than the Finlay farm in Kericho, most of the land owned by white people in Kenya is useless to an average person considering it's mostly in arid areas and requires expensive irrigation to e productive. Waulize how many people in Tanzania can afford this kind of farming?

 
Hawa watu ni fukara licha ya mashamba, wakulima wengi wako ovyo, sielewi ni kwa nini!., Ichoboy01 is looking at Kenya through Tanzanian lenses and propaganda that they have been fed, thus skewed reasoning, so he thinks Kenya ni kama Tanzania., farming in rift valley ni mechanized kama yote na wetsrn scheme area, hawa bado wako subsistence, ndio maana their land isn't giving them value for money., ni hand to mouth. Can't make wealth.
 
nje ya Dar hakuna mji of this magnitude in infrastructure and economic output., Nakuru has high revenue than any of their shopping centres called cities.,
Ukisema dar, natumai unamaanisha kale ka CBD, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hio style yenu noma yani mtu anatua na mgongo mwangine anatua na sura/uso [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji90][emoji1139][emoji90][emoji90]

au mlijaribu kuigilizia hii [emoji116]View attachment 1805663
Hawa jamaa walishangaza watu cku ile, yn tulikuwa tunaambiwa wapo juu wanakuja wakati hatuwaoni, baada ya dakika kadhaa tukaanza kuona kama nukta zinakuja baadaye ndo hao tukaanza kuwaona, na wakashukia pale pale uwanjani aisee, TPDF haijawahi kushindwa aloo. Alafu haya mambo ni kurithi kizazi mpk kizazi, hii TPDF toka enzi za Mwalimu mpk leo iko super, lkn KDF miaka nenda rudi ni jeshi dhaifu lisilokuwa na rekodi yeyote ya kushinda vita na ndiyo maana hata hawa wa sasa wamerithi udhaifu wa kaka zao.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Sio wewe nimekuonesha commercial timber farming in Tanzania leo and how it creates billionaires?

Unaweza kunionyesha ya Kenya?
 
Ninyi hata kufanya farming ya kujilisha by 20% of your total food consumption tu itawachukua miaka 30000, ndio uje kutufundisha watanzania irrigation farming

Unataka nikuletee irrigation schemes ngapi kama hizo Tanzania? Chagua mwenyewe! 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…