Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unazungumzia hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1805661
Hehehe, ndio sasa kama hii wanajeshi wenyu wanafanya hapo, kule kwetu mpaka NYS(Vijana wa kazi) wamebobea vituko hivyo, yaani mpaka tunaenda Olympic sahi sababu ya kubobea tu! Sasa jiulize ukipatana na KDF utafanywa nini??? 😂 😂 😂 😂
 
Maumivu yakizidi muone daktari 😁😁😁😁

Naona vitasa vya good life ya wa bongo inakuletea ukichaa 😁😱😁 I love that
 
Kwn jwtz nao wanaruka, manake mpka waruke ndio tujue km wanaanguka au vipi[emoji1787][emoji1787]
Unafikiri wakianguka itaonyeshwa? Kwanza Station zote za tv zitapotezwa network kwa mda ili ajikokote! Chezea serikali ya siri kama Tz! 🤣 🤣 🤣
 
Export ya timber haina shida, hatuwezi kushindana kwa ukataji wa miti. Hongera kwenyu!
Mzee hiyo ni modern timber plantation kuna millions of acres of commercial timber Tanzania

Ngoja nitaileta hiyo topic separately
 
Na sio eti Tanzania inatoa msaada, la hasha, hamuna uwezo kwa sasa., pia Timber inatoka Congo., kibiashara.
Ikitoka Congo kuja Kenya mlivyo mafukara mtaweza kununua? Au unafikiri Congo na Kenya ni kama Somalia?
 
ila wabongo wenzangu poleni kuwaelewesha hizzi nairobian zombie

mie kila nikijaribu nashindwa
Malnutrition ilishawaharibu ubongo, wamekulia maisha ya shida sana kwenye slums na njaa unategemea nini?
 
Yaani hii minyumbu tumeifunika kila sector
 
Kumekucha
Usitake nilete wakenya waliobaki mifupa tu Nairobi, turkana, marsabit, lamu, wajiir, pokot, mandera, Mombasa,, lodwaa,

Zile pictures huwa hata mimi zinanikifu ila ukitaka nitazileta huku in tones
 
Viwanja vingi ila kuna wateja wa kutosha, ndege za kutosha, kazi za kutosha?
Angalia hata UAE wana viwanja vya ndege 22 ila viwili ndivyo vinafanya kazi sana kuliko hivyo vingine vyote, AUH(Abu Dhabi) Na DXB(Dubai)... alafu hapo bado wanapata wateja hata huko kwingine tena wengi, sasa nyie jameni hata ni kujiliwaza tu. Kile cha Chato tu bado kazi yake haijaonekana, wakulima wanalilia waachiwe anga waanike mpunga na mazagazaga mengine ya shambani.... Ova n out! 🤣 🤣 🤣
 
Zile za kuanikia mpunga😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…