Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Jeshini watu wanaruka viunzi vya moto, kutambaa kwa mawe kifua wazi... Sio kuvunja matofali. Train Hard Fight Easy. Be smart sometimeshizo ni training za kawaida kijeshi,,,,
ogopa sana watu hao
Sawa bhana 😬😬😬hizo ni training za kawaida kijeshi,,,,
ogopa sana watu hao
kwa jinsi salute tu zilivyopigwa hapo kwenye picha ,unajua kabisa yupi ni mwanajeshi imara na yupi ni mwanajeshi dhaifu kimafunzo,,,KDF Forces training with US Marines.. note, the guns are American M4 and M16s only View attachment 1805467View attachment 1805466
huko umeenda mbali sana yaani hao GSU tukija watu wawili tu mimi na The best 007 huku tukiwa na visu tu ,,tunachinjilia wote mbali ,,tunamaliza showJamani mchina effect unaathiri watu! Hao jamaa nawaachia mji wa kogelo tu, wale jamaa wanawatosha, hatuna haja ku waste resources! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ama tuwape GSU, lakini tutakuwa tunawaonea, tena ni polisi tu wa kawaida hao! [emoji1787]
Umekuwa mwalimu wa kambini, eti hayashiki, anyway kilaza ni kilaza tu. Mkuu mmoja wa jeshi lenyu alihitimu huku ujue! 🤣 🤣 🤣hata mkifundishwa na Jesus,,
ishu si kufundishwa ishu ni kucover training kiufanisi kuwa well trained,hata baadhi ya wanajeshi wenu wakija huku kwenye kubadilishana uzoefu huwa ni wazito hivyo hivyo ni vilaza hawafundishiki kirahisi..
matokeo ya jeshi zaifu ndiyo hayo sasa yaliyotokea na ipo siku kwenye maonyesho kama hayo mjeshi ndani ya Jet atakuja kuwashushia kombora uwanjani ,kwa kukosa umakini na nidhamu ya kijeshi
Labda iwe wataka kurudi Tz bila kende! Be my guest! 🤣 🤣 🤣 🤣huko umeenda mbali sana yaani hao GSU tukija watu wawili tu mimi na The best 007 huku tukiwa na visu tu ,,tunachinjilia wote mbali ,,tunamaliza show
Tembe zikitoka hazijui saluti dadeq! 🤣 🤣 🤣 Hapo ni kuchapa tu mwendo wa kwenda mbele!kwa jinsi salute tu zilivyopigwa hapo kwenye picha ,unajua kabisa yupi ni mwanajeshi imara na yupi ni mwanajeshi dhaifu kimafunzo,,,
huyo mkuu wenu wa jeshi na hao wanajeshi wenu wengine wanapiga salute kizembe sana ,ambayo hata huyo mama kibonge hapo pembeni angeweza kushow ..
stupid & poor kenyan army
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jeshi ni ukakamavu lazima muwatengeneze watu special ambao wanakuwa na uwezo wa kujikinga na hali ngumu zaidi na wenye kujua vitu vingi zaidi ....Jeshini watu wanaruka viunzi vya moto, kutambaa kwa mawe kifua wazi... Sio kuvunja matofali. Train Hard Fight Easy. Be smart sometimes
picha hazisaidii tukisema kila mtu ajaze picha za jeshi ,,nimatumizi mabaya ya kutumia serverSawa bhana [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 1805472
View attachment 1805473
View attachment 1805474
View attachment 1805475
View attachment 1805476
kubadilishana mafunzo ni vitu vya kawaida hata nyie huwa mnakuja huku,,,Umekuwa mwalimu wa kambini, eti hayashiki, anyway kilaza ni kilaza tu. Mkuu mmoja wa jeshi lenyu alihitimu huku ujue! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Wewe nenda ukafundishe wenzako, staki taarifa hapa. 😂 😂 😂 Movie zinawakanganya![emoji1787][emoji1787][emoji1787] jeshi ni ukakamavu lazima muwatengeneze watu special ambao wanakuwa na uwezo wa kujikinga na hali ngumu zaidi na wenye kujua vitu vingi zaidi ....
endeleeni kutambaa kifua wazi na huo mtindo wa kutembea na mawe kifuani ambao ni vitu vya kawaida kijeshi,,,,mtaendelea kuchapika na kuanguka na parachures dayle
Wabongo kawaida kwenyu nyie ndio issue mwaifanya kubwa, wakati kwetu mambo ya kawaida tu!kubadilishana mafunzo ni vitu vya kawaida hata nyie huwa mnakuja huku,,,
hilo jambo siyo big deal
sema jeshi lenu inabidi likazane sana,,Tembe zikitoka hazijui saluti dadeq! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hapo ni kuchapa tu mwendo wa kwenda mbele!
Uzi ulikuwa unaboa, nikaona niubariki kiasi kwa mapicha picha ya kishua! ✌️😂picha hazisaidii tukisema kila mtu ajaze picha za jeshi ,,nimatumizi mabaya ya kutumia server
hapo hakuna movie wala picha ,,,ukikutana nao ground unachapika kweli mpaka unajinyeaWewe nenda ukafundishe wenzako, staki taarifa hapa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] Movie zinawakanganya!
Sawa mzee wa saluti, endeleeni kukram hizo swagger!sema jeshi lenu inabidi likazane sana,,
bado halipo well kabisa kimafunzo pamoja na jitihada zote mnazozifanya kwa kuweka bajeti kubwa
Nakwambia ka ni mimi pale ground alafu jamaa wanafanya vituko vile, wallahi natoka naenda ghetto, siwezi poteza mda nikiangalia kicheko! 🤣 🤣 🤣hapo hakuna movie wala picha ,,,ukikutana nao ground unachapika kweli mpaka unajinyea
Sasa mtachapana na Nyundo mukipigwa marisasihizo ni training za kawaida kijeshi,,,,
ogopa sana watu hao
Mbona misipeleke Hao Jeshi wenu wrestling ama 🥊 tuone,Watapigwa mpaka watoke meno,Endeleeni Kuvunja mawe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jeshi ni ukakamavu lazima muwatengeneze watu special ambao wanakuwa na uwezo wa kujikinga na hali ngumu zaidi na wenye kujua vitu vingi zaidi ....
endeleeni kutambaa kifua wazi na huo mtindo wa kutembea na mawe kifuani ambao ni vitu vya kawaida kijeshi,,,,mtaendelea kuchapika na kuanguka na parachures dayle