Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wikipedia ambayo mnakesha mkibadilisha maandishi, hv wewe hujisikii aibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lete yako inayoonyesha ni tanzania[emoji1787][emoji1787]
Mwenzako siku hyo kajitia kurekebisha wikipedia akaangukia puani..manake kila tukiingia kw sites tunakuta no changes[emoji2960]
We unafikiria wikipedia ni kila kitu hubadilihswa..

Nakupa mtihani, ingia ubadili uweke somalia alafu urudi uone km ita save, mpka yesu atarudi hyo haiwezi badilika
 
sema hii wizara bana🤦🏽‍♂️.. hiv sio vitu vya kuongelea.. waongelee wanasanii wanafaidika vip na haki zao.. ujenzi wa viwanja au sports academies.. arenas.. wanawasaidiaje wana michezo katika michezo ya kimataifa
Wasingesaidiwa hizo Gold, Silver na Bronze zingekuwa hazitutambui. Nyie na viwanja vyenu vipya, vipi huko? Au tuwakopeshe wanaspoti? 😂
 
Ili Tanzania iwe Debt to GDP kama ya Kenya inatakiwa ikope kiasi gani. Na hizo Trillions Kenya atakuwa hajakaa akilia machozi ya Mbwa Pori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…