mama kuna jambo analitafuta,,,,ukiona hivyo inawezekana kuna watu wa mzee wa awamu ya JK anataka kuwapachika sehemu nyeti hivyo lazima azuge azuge kuwaweka hao wake,rafiki au waume wa viongozi wengine ili akianza kuwatupia wa JK asipate lawama aonekane kabalanceHuu upuzi Magu hakuutaka,hivi ikitokea wameharibu watawajibishwa kweli? Nakumbuka kids cha ATCL na mke mmoja wa waziri flani,shirika lilikuwa haliendi kabisa!
Unamjua mwenye chopper, ameagiza zingine last week!? 🤣 🤣 🤣Na hio loss ya chopper unafkiri mutaeza fufua hio ushuzi 🤣🤣🤣🤣
kuna mtzii mmoja mshombeshobe kadai vile🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe wamejua china amenunua kenya
Baba yake ni Mtanzania mama Mgermany,ndio namba 1 kwa long jump germany olympic team,ana ni maarufu mno kwa germany kwa urembo na kipaji cha kuruka,serikali yetu sijui kwanini uwa aiwatumii watu kama hawa!🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
so? kwahiyo sie tuwe tunatoa tu ubalozi kwa yeyote yule soka na kuruka viunzi ni mchezo upi unafuatiliwa zaidi?Baba yake ni Mtanzania mama Mgermany,ndio namba 1 kwa long jump germany olympic team,ana ni maarufu mno kwa germany kwa urembo na kipaji cha kuruka,serikali yetu sijui kwanini uwa aiwatumii watu kama hawa!
😂😂😂 kaka watalia sana siku wakisikia upo Nairobi!!!Kilio kikubwa!!Posh house zina wenyewe ila mji umezungukwa na slums 🤣🤣🤣
Kama mmempa show madjozi na bongozozo kuna ubaya gani mkiwapa watu maarufu wenye damu ya kitanzania,huyo malaika tunaweza kumtumia kwa watalii wa germany,na huyo dada olympic ya 2020 kama si kughairishwa sababu ya corona germany walikua wanategemea medali toka kwake,halafu muda mwingine unakuaga na ubishi wa kijinga sana!unajiona wewe ndio mwenye right zote za kuiongelea Tanzania!so? kwahiyo sie tuwe tunatoa tu ubalozi kwa yeyote yule soka na kuruka viunzi ni mchezo upi unafuatiliwa zaidi?
Kuna huyu dogo naona ana influence kwny sports ni mbongo pure mtoto wa Mbezi Beach ila sioni kama tunamtumia ipasavyo.Kama mmempa show madjozi na bongozozo kuna ubaya gani mkiwapa watu maarufu wenye damu ya kitanzania,huyo malaika tunaweza kumtumia kwa watalii wa germany,na huyo dada olympic ya 2020 kama si kughairishwa sababu ya corona germany walikua wanategemea medali toka kwake,halafu muda mwingine unakuaga na ubishi wa kijinga sana!unajiona wewe ndio mwenye right zote za kuiongelea Tanzania!
Bongo tuna watu wengi sana nje sema serikali aiwatumiiKuna huyu dogo naona ana influence kwny sports ni mbongo pure mtoto wa Mbezi Beach ila sioni kama tunamtumia ipasavyo.
View attachment 1803445
View attachment 1803446
"First African as the latest member of UEFA Executive Committee"Kuna huyu dogo naona ana influence kwny sports ni mbongo pure mtoto wa Mbezi Beach ila sioni kama tunamtumia ipasavyo.
View attachment 1803445
View attachment 1803446
Nilidhani ni wewe, kumbe.... 😂
umeiba picha za gaza 😂😂😂😂Luckysummer Nairobi....yani Nairobi ina vijikariokoo vingi hadi shida[emoji81][emoji81][emoji81]View attachment 1803487View attachment 1803490View attachment 1803491
Sent from my LAVA_R1 using JamiiForums mobile app
So ww ukapanic ama 🤣🤣🤣kuna mtzii mmoja mshombeshobe kadai vile
Niliwaambia humuijui Nairobi ....na sio level Moja na dar slumumeiba picha za gaza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NAkwambia siku nikienda watanyea debe yani wasiombe nipate safari mwaka huu🤣🤣😂😂😂 kaka watalia sana siku wakisikia upo Nairobi!!!Kilio kikubwa!!