Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwakani tu hapo tunasubiri mungiki wakianza kuwachinja sie tunafunga border letu mmuane vizuri,ndipo utakapojua kama nyie ndio hamuaminiki
 
Huu upuzi Magu hakuutaka,hivi ikitokea wameharibu watawajibishwa kweli? Nakumbuka kids cha ATCL na mke mmoja wa waziri flani,shirika lilikuwa haliendi kabisa!
Huyo mke wa ndugai yupo kwenye system toka kipindi cha magu
 
Kimya kimya makomandoo wetu hao wamehitimu mafunzo yao nchini nicaragua,hii,hapo naona kuna dogo letu burundi na dogo letu nunda rwanda,mungiki makomandoo wao wapo kozi ya kuuza mkaa somalia
 

Attachments

  • 03dadbc8f963343f6546fea45d23e2d7.mp4
    6.7 MB
We know, It's a civilian chopper and there're no casualties only minor injuries. Pole kama uchawi wako haukufanya kazi!
Na hio loss ya chopper unafkiri mutaeza fufua hio ushuzi 🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Inaonekana gari Kenya ni anasa sana

Yaani hawa watu wanaishi maisha ya mababu zetu kabisa, punda these days?

Watakwambia wapo mbeleni kwenye infrastructure πŸ˜…πŸ˜…
Eti wanatafuta tender lamu port ya kupeleka vyakula na vitu vingine kwa kutumia usafiri wa punda 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…