Sasa ni wapi ajali haitokei hapa duniani?Haya machuma chakavu huyanunua lifespan yake ikiwa tayari imeshapita hata ule muda wa kuwa recyclable
Tanzania huingizi hizi takataka TIA wakakuangalia, imagine lingeanguka toka angani kwenye slums au mkutano
Nipo kariadudu nimetulia na ni kweli sina uwezo nimepigika kinoma🙂naitaji msaada tunavozungumza sina hata nauli ya kurudi home🙂Bwahaha!!mukomboleeni mwenzenu hoteli nzuri jamani hawezani na nairobi hyo mzee wa uswazi middle class..
Huna uwezo unakuja unajikuta slum areas alafu eti unalialia hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpeni pole mwenzenu
Sasa kama yenu sio sifa yetu inakuwaje ni sifa kama alivyosema mwenzako? Ndio maana kila siku nasemanga inferiority complex huwasumbua sana.hio flyover sio sifa.. hapo ubungo au tazara unatoka tu mlango wa kazin saa kumi unafika home saa tatu usiku sababu ya folen ya hapo.. saiz unapita kama vile barabara iko empty..
Nauli uko nayo in default. Ama gari ya UN unawacha pale Gigiri ukurudi zako Gongo la Mboto?Nipo kariadudu nimetulia na ni kweli sina uwezo nimepigika kinoma🙂naitaji msaada tunavozungumza sina hata nauli ya kurudi home🙂
Kaka wanakuchukia sn Wakenya wa humu sema hawana uwezo wa kukujua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipo kariadudu nimetulia na ni kweli sina uwezo nimepigika kinoma[emoji846]naitaji msaada tunavozungumza sina hata nauli ya kurudi home[emoji846]
Huku njaa imewakaba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sports tourism [emoji123][emoji123]
Heri kufa njaa kuliko kula albino😂😂Huku njaa imewakaba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ntawacha gigiri nirudi gongo la mboto🙂kwa hela ya kuchangiwa🙂Nauli uko nayo in default. Ama gari ya UN unawacha pale Gigiri ukurudi zako Gongo la Mboto?
Hawa wa humu wanajikaza tu lakini ukweli wanaujuaMm niko bank wanakuja wateja mbalimbali, wakenya, Wazimbabwe, wacomoro, wa Nigeria, wazambia, Wacongo etc jamani Watz hawa watu wanaipenda hii nchi asikwambie mtu, pia wanampenda sana the late Magufuli, yn huwaambii kitu kuhusu Magufuli wakakuelewa.
Heheheheee maneno ya kanga hayo, hakuna binadamu ambaye tumemzoea na kuishi naye km albino, inshort ni kwamba hizo story za albino huku ziliisha na hata akipita hapo mbele wala hatumuangalii mana tunaona ni mtu km wengine, mm binafsi nina rafiki albino so ukiandika huu upuuzi nakuona km fala.Heri kufa njaa kuliko kula albino[emoji23][emoji23]
Jamaa hawajapenda hata kidogo 🙂Hilo halina ubishi 🙂 maisha ya wenzetu Noma Sana 🙂Kaka wanakuchukia sn Wakenya wa humu sema hawana uwezo wa kukujua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aende Mang Hotel hapo junction ya gikosh ni 1k per day. Nafikiri hiyo ndiyo ya chini Nai... 😂 Ama labda amepewa accommodation za bure, you know how NGOs roll sometimes!Bwahaha!!mukomboleeni mwenzenu hoteli nzuri jamani hawezani na nairobi hyo mzee wa uswazi middle class..
Huna uwezo unakuja unajikuta slum areas alafu eti unalialia hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mpeni pole mwenzenu
Nyinyi hamwaminiki bhana! Sio watu wema...Heheheheee maneno ya kanga hayo, hakuna binadamu ambaye tumemzoea na kuishi naye km albino, inshort ni kwamba hizo story za albino huku ziliisha na hata akipita hapo mbele wala hatumuangalii mana tunaona ni mtu km wengine, mm binafsi nina rafiki albino so ukiandika huu upuuzi nakuona km fala.
Naona umeandika kinyume [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyinyi hamwaminiki bhana! Sio watu wema...
Mkenya aliyempenda yule mzee, RIP JPM, basi alikuwa ana loose nut pahali upstairs! 🤣 He ruled with an iron fist, and you were the victims.Mm niko bank wanakuja wateja mbalimbali, wakenya, Wazimbabwe, wacomoro, wa Nigeria, wazambia, Wacongo etc jamani Watz hawa watu wanaipenda hii nchi asikwambie mtu, pia wanampenda sana the late Magufuli, yn huwaambii kitu kuhusu Magufuli wakakuelewa.
Moshi town😂😂👇👇👇